Simulizi ya Mashariki ya Kati, umenyofoa kutoka Mgogoro wa Mashariki ya Kati - Maisha ni Vita - Blogger wakati simulizi ya Congo, umenyofoa kutoka hapa Mkataba wa kuuza Kongo huu | Gazeti la MwanaHalisi huu ni wizi wa mchana kweupe!, wizi ni wizi tuu, anayefanya wizi ni mwizi tuu, wizi wa literary work ukajifanya umeandika wewe unaitwa plagiarism, mwizi huyo anaitwa plagiarist!, japo ukiiba in good faith kwa ajili ya kuwasaidia wengine kuelimika ni wizi mzuri, ulipaswa utoa haki kwa just to mention the source!, yaani kutoa attribution, unless kama hizo kazi zote mbili, mwandishi wa kwenye original source ni wewe, then ungesema!, contrast kati ya vichwa vya ulichocopy na kichwa chako humu jf kinafahamika wazi!.
100% correct.
Tatizo dogo la maelezo yako yote hayo, ni kukosekana tuu kwa linkage kati ya masimulizi yako na the real case scanerio ya makubaliano ya JK na EL, kama uweza kutuwekea details za makubaliano mengine yote kwenye simulizi yako, umeshindwaje kupata hayo makubaliano ya JK na umeshindwa vipi ku link sumulizi zako na hali halisi ya JK na EL?!.
Pasco
Hapa usisahau Yericko Nyerere kaleta kama nadharia na amini ni mzoefu na ndharia na umeshaleta nyingi humu Jukwaani.Lakini kwa kumbukumbu yako utakumbuka kauli .
Unadhani Mhe.Lowasa ilimtoka tu kinywani bila kuwa alikuwa amekwisha jipima. Je umepata kujiuliza Nani huyo alikuwa na shida ya Uwaziri Mkuu wake?.
Hotuba ya Lowassa Kujiuzulu Uwaziri Mkuu. Kweli aliweka ...
23 Dec 2013
Mheshimiwa Spika, lakini nimetafakari kwa makini sana jambo hili nikajiuliza hivi kulikoni mpaka watu wazima wenye uwezo wao, watu maarufu wenye heshima zao, mpaka wafike mahali waache jambo la msingi kama hilo kulikoni? Mimi nadhani there is a wish which I am going to grant, ni Uwaziri Mkuu. Nadhani tatizo ni Uwaziri Mkuu. Kwamba ionekane Waziri Mkuu ndio amefanya haya, tumuondolee heshima au tumwajibishe.
Last edited by a moderator: