Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC


Mkuu wangu Pasco,

Niseme wazi, hapa Jf wapo watu watatu, hawa kwakweli nikijadiliana nao ama nikisoma maandiko yao huwa najiona watu wa damu yangu kabisa, hawa ni ndugu zangu kifikra na kifalsafa, kwamaana tumezaliwa anga moja, na sio wengini bali mzee wangu wa hekima za nera Meg3, Nguruvi3 na kijana wangu MWANAKIjiji

Sijui na sielewi wewe upo sampuli ipi lakini huwa naheshimu imani na ufuasi wako kwa mtu yeyote atakayekuhakikishia udhibiti wa tumbo lako, hicho nacho ni kipaji adhimu mkuu kitunze na ukilinde kitakulinda!

Suala la makala haya wala lisikupe homa mithiri ya umtumikiaye, haya ni makusa ya makala zangu mbili,

Moja hii hapa

https://www.jamiiforums.com/international-forum/697344-ninaunga-mkono-israel-kuitetea-na-kuilinda-nchi-yao-ya-ahadi.html

na nyingine hii hapa


https://www.jamiiforums.com/international-forum/504059-ijue-rwanda-kagame-museveni-na-uvamizi-wao-katika-ardhi-ya-congo.html
 
Last edited by a moderator:
Makubaliano ya ......

Hata aje Mtume Mohamed au Yesu Kristu atake kugombea uongozi nchini Tanzania kupitia ccn, ilimradi iwe kupitia ccm basi hao HAWAFAI na ni Laaana kuu!.
Umeongea mambo ya Msingi sana umenichefua mwish kwenye kuingia kutukana imani za watu....kwa kuwa nakuehshimu futa kauli yako hiyo ya mwisho....nina amini sana uwepo wa imani za mababu zangu kwa kuwa asili yangu nami ni Mwafrika ...lakini naheshimu pia imani za watu wengine...Na imani ya mababu zangu haikuwa na uchoyo na kejeri za imani zingine ..sasa matusi yako nachukizwa na umaliziaji wako..Futa hiyo sentensi niliyoboard ili uonyeshe heshima kwa imani za wengine.Kuwa na imani tofuati na wengine hakuonyeshwi kwa mifano mibovu kama uliyotoa hapo mwisho.Nisaidie futa maneno yako hayo tusafiri pamoja Yericko...na ujumbe wako utakuwa na mantiki yenye busara heshima ni jambo la buree...kama wakati unaandika hilo cha ARUSHA kilikuwa na NTA kali kuliko cha kwenu IRINGA tembelea wakuoe cha MBOKA MANYEMA chenyewe ka ujadata wakati wenyeji ndio ugenius unaongezeka.Hebu toa sentensi hiyo au moderetors wakusaidie nitasimama mpaka wametoa.

Kwa kumtaja YESU na MTUME MOHAMED ambao umewadhihaki ni UPUNGUANI...uku dhahiri ukijua kuwa VIAPO tunatumia BIBLIA ambayo ni YESU na QURANI ambayo ni MTUME MOHAMED kutoa AGANO la kusimamia MAKUBALIANO tukiamini wako JUU ya MAMLAKA.Usiangalie watu KUDHIHAKI vitabu hivyo kwa kujiapiza kwa vitabu hivyo lakini bado wakafanya tofauti na viapo vyao kupitia vitabu hivyo HUKUMU YAO hiko hapa hapa DUNIANI.Natambua uwezo wa IMANI za mababu wa zamani kutokuwa na MZAA wa kutoa HUKUMU KWA HARAKA ZAIDI kwa MTU ambae ANAKIUKA imani ya kutenda ndivyo sivyo juu jamii yake ukilinganisha na utendaji wa IMANI hizi za YESU na MTUME MOHAMED ambazo nazo zinatenda pia kwa namna yake hivyo ziheshimu

Analysis yako ni nzuri imejaribu kutufikirisha nje ya box ...lakini umechefua mimi umaliziaji japo ulitaka kusema jambo la msingi...kuwa hata kwa imani za mababu zako makubalino hayo yao wawili HAYAHUSIANI HAtA kIDOGO NA MAMLAKA YA TAIFA..NA KUWA WALIKUTANA MITAANI WAKIWA MARAFIKI NA WATALUDI KUKUTANA MITAANI KAMA MARAFIKI NA SI KUPEANA MWIKULU KAMA RAFIKI ANAVYOWEZA KUMPA RAFIKI YAKE SHATI AU KIATU MITAANI.

IKULU NI ROHO YA TAIFA .....Kwa waliotoka nafasi za kichifu wanaweza kuwa na maneno mepesi ya kusema kwanini agreement hiii HAINA NAFASI NA JIBU LAKE NI JEPESI SANA...VITU VYA KIROHO HAVIGAWIWI NA BINADAMU KAMA PEREMENDE.
 
Yeriko katika ubora wake umecopy kama ilivyo kwenye documentary ya CNN

Haya kua kiakili na kimwili hapa kijana,

https://www.jamiiforums.com/international-forum/697344-ninaunga-mkono-israel-kuitetea-na-kuilinda-nchi-yao-ya-ahadi.html

kisha tulizana hapa


https://www.jamiiforums.com/international-forum/504059-ijue-rwanda-kagame-museveni-na-uvamizi-wao-katika-ardhi-ya-congo.html
 

Pole sana ndugu yangu, chungu ni dawa, taraaatiiibu utapona maalimu
 
Jifunze kuandika summary...likitu reeefu hivi nani asom e au unatulipa kwa kusoma?
Siawapendi vibaya mno watu wa aina yako...nyie ndio usikute uko ofisi ya serikali mkataba unaletwa ukiwa na page mia tatu unasoma summary unasign .pum......dam...kama kigogo kweli kigogoooo...
 
Ungeandika kwa ufupi tu ungeeleweka.uchambuzi wa kina namna hii ungeandika kwenye gazeti.
 
Ya Mashariki ya kati wewe iliipandisha 28th July 2014 15:15,
Ya Congo wewe ukaipandisha humu 13th August 2013 07:47. Rudi kwenye original source angalia walitoa lini!,
Simulizi ya Mashariki ya Kati, umenyofoa kutoka Mgogoro wa Mashariki ya Kati - Maisha ni Vita - Blogger wakati simulizi ya Congo, umenyofoa kutoka hapa Mkataba wa kuuza Kongo huu | Gazeti la MwanaHalisi


Kikawaita kama unaoga mtoni, halafu kichaa akaiba nguo zako na kutaka kukimbia nazo, mstaarabu utachutama kusubiria msaada!. Wewe Yeriko ni mwizi tuu kama waizi wengine!, umeshikwa chutama!. Huku kujilingalisha na kina Mag3, Nguruvi3 na kijana wangu MWANAKIJIJI, ni kutaka kuwadhalilisha kuwa na wao ni ma plagiarist kama wewe!, lini umewasoma copy cut zao?!.

Mimi Pasco wa jf, najikubali sio GT wa humu, ni mtu wa kawaida, lakini ni heri kuwa mtu wa kawaida with the originality, kuliko kujifanya a GT kwa plagiarism!.

Pasco
 
Where is the link? Kikwete na Lowassa, Wapelestina na Wayahudi?
 
asante Yericko kwa uchambuzi wako makini na ulioenda shule, big up brother.
 
Haijalishi imetoka wapi ila nmepata uelewa mzuri!
Yericko ana kitu fulani anachotaka kutuambia hapa.,kwa kauli za el kua yeye ana mabadiliko na asipopatikana ndani ya ccm bas wanainchi watampata popote ,let say hata act kwa zzk !, je hiki chama cha kibabe chenye historia ya kuwakolimba wasaliti wake kitamuachia pumzi yake ya kupasua hiki chama wanachodai ''kitatawala milele''?,,,naona vita ya mchana kweupe hapa huku nikiona ukawa ikiimarika baada ya ccm kukosa umoja wa udhalimu ,na hapa ndipo ambapo wanainchi walioelekezwa kumchagua loasa kupitia ccm wakimkosa na kuipa kura ukawa maana hawa raia wa tanzania hawamjui agustino ramazan au mahiga!
Mkumbuke tu kuwa 1995mkapa alikua hafaamiki ila mwalimu alitumia nguvu ya ziada haswa na zle mbinu za chama tawala ili yule mgombea angalao ashinde.
This iz 2015 ,no mwalimu ,nan ni nan?,,,,naiona UKAWA ikulu asante Mungu # logic
 
Kutafuta point kwenye hii thread ni sawa na kusaka punje mbili za mchele katikati ya kilo 500 za mchanga
 
Ni uwezo mdogo wa kufikiri, ku-copy n paste si dhambi! Watu badala ya kuangalia ujumbe uliopo kwny thread mnaanza kuuliza mtu amekopi wapi!

Hongera Yericko Nyerere, umenisaidia kuyajua mengi ambayo pengine nisingepata nafasi ya kuyajua milele, ipo hatari inayoweza kutokea km kweli Kulikuwa na makubaliano ya kuachiana madaraka kati ya Jk na Edo...ila kwa akili za kawaida huwezi kijua hiyo hatari!

Kwa mda mrefu Lowassa amekuwa akitoa kauli tata kwny utawala wa JK, mfano issue ya ajira kuwa ni bomu linalosubiri kupasuka, kilimo kwanza kimefeli, vijana wale wa JKT kuandamana hadi Ikulu kudai waajiriwe na mengine mengi!
 
Last edited by a moderator:

Na ana ID chungu nzima humu za kusapoti "cut and paste" yake.
Hii tabia ya kujipa uwezo usiokuwa nao anayo sana Yeriko, na kuna wajinga wengi anawakamata.
 

* upo sahihi mkuu...

* kwa mtu anaelewa, there is no linkage at all...labda huyu jamaa alikuwa anataka kutusimulia kuhusu historia ya vita vya Israel na vita vya Congo DRC....

* Angeweka post yake kwa jinsi ulivyom-quote na kuweka the rest kwenye link..kwa sababu sio zake....

* The correlation between the title and the content ni negative.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…