Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC

hata kama amecopy na kupest sisi wengine tumejifunza kitu kipya....shida ya watu huku wanajidai wanajua sana na kukosoa wenzao...kama wew ni mjuzi sana kakojoe ukalale tuacheni wengine tijifunza vitu vipya...big up bro Yeriko hakika numejifunza kitu na Mungu yupo upande wetu achana na wachumia tumbo wanaleta bra bra za kimagamba hapa....
 
Ujue kuna watu wanaelewa mambo wanatoa hoja na wanaelewa wanachokifanya. Hasa Mr Yericko hongera sana kaka. Nimeipenda hiyo

Hakukuwa na haja ya ku-quote uzi mrefu hivi kwa sentesi moja....
 
Makubaliano ya JK na Lowassa ni yapi..? Ungefafanua kdg ili tuweze kulink na walichofanya wenzetu...
 
Watanzania wanaopenda kuumiza kichwa ni wachache sana.
 
Reactions: DSN
ivi hiki kidingi hua kipoje wakuu? sasa hizi stori za kukopi hata tuseme tu tukubali ni zake zinahusiana vipi na mada kiloleta? wakati mwingine akili zikizid sana unakua utaahira
 
Jifunze kuandika summary...likitu reeefu hivi nani asom e au unatulipa kwa kusoma?

Tabia ya kutokutaka kusoma likitu lirefu ndo kulimponza Lowasa. Mpaka leo anaamini kuwa watanzania hawajui kuwa yeye ndo muhusika mkuu wa Richmond. Wenye kusoma mikitu mirefu walishasoma taarifa ya Mwakyembe na wanajua alihusikaje. Yeye mpaka leo anakomaa kuwa tatizo ni uwaziri mkuu.
 
Reactions: DSN
Kumbe Jk na Lowassa ambao hawakukutana barabarani huko waliko kutana walitengeneza mambo mengi fake,kama walivyo kubaliana kuachiana urais bila idhini ya watanzania ambao ndio waajiri wao wa nafasi ya urais,makubaliano ambayo hayakuwa na Baraka za chama chao.

Ndiyo maana wameliingiza Taifa kwenye gharama kubwa kwa mikataba yao fake kwa kuwa wametoka mbali na mambo yao ya fakefake.
 
Lowasa na jk wapi na wapi mwacheni kumungamanisha Rais wetu na majizi kama Lowasa siyo sawa hata kidogo.

Kama EL ni mwizi kwanini JK na Serikali yake hawakumshtaki kama walivyofanya kwa akina Costa Mahalu?!.

EL ANA SIRI nzito YA RICHMOND.
na itajulikana ikiwa EL atakatwa.
 
Ni wavivu wa kusoma wabongo ila ingekuwa ya mapenzi wasinge complain kuwa ni ndefu

kusoma huu upuuzi wote neno kwa neno mpaka mwisho nao ni ujuha kama ujuha mwingine,,, walau basi angeandika marefu sana ila yanayohusiana. halafu nyie wapambe mpo tu bize mnakitetea hiki kitapeli kwa kipi hasa kilichoandika zaidi tu kimekunya mtandaoni asubuh asubuh.. acheni ku entertain u much-know wa hiki kidingi hawa ndo wale anazeeka anastaafu anajisifia kutembea nchi za dunia yote huku mpaka anastaafu bado anakaa kwenye mageto,,, huna hizo weweee
 
 

Wanufaika wa mpango huu ovu ni akina Pasco
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo EDWARD LOWASSA na JAKAYA KIKWETE walihakikisha NYERERE hatakuwepo kuwazuia 2005?
 
Summarize hoja zako sio kujaza kurasa kama vile huna kazi ya kufanya....! Mbona hutatoa mifano ya Putin vs Medvedev au Mugabe vs Canaan Banana au Mandela vs Thabo Mbeki........!
 
Summarize hoja zako sio kujaza kurasa kama vile huna kazi ya kufanya....! Mbona hutatoa mifano ya Putin vs Medvedev au Mugabe vs Canaan Banana au Mandela vs Thabo Mbeki........!

Maelezo ya hao watu sinayo, vp waweza kutufundisha hama jamvini mkuu?
 
Waego hongera kwa kuleta Uzi huu hata source yenyewe walikopi Na kupaste aliyekuwepo ni marehemu kabila
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…