Mkuu
Pasco lengu langu ni kukujenga kiakili japo uwezo wa kupokea mambo mapya ushakutoka,
Kwanza nikufahamishe kuwa makala za gogoro wa mashariki ya kati zipo nyingi nyingi sana, na kila mwandushi ameandika apendavyo, Juu ya hii makala ya mgogoro wa Palestina na Israel hii nimeiandika MIMI kwa mkono wangu enzi hizo nikiwa huko dunia ya kwanza,
Makala hii kwa mara ya kwanza nimeiandika 2010 nikiishi Moscow na ilipofika 2011 nikiwa Uchina ndipo kwa mara ya kwanza imewekwa kwenye mitandao ya internet kupitia wikileaks01.wordpress.com
http://wikileaks01.wordpress.com/2011/10/25/historiayavita-Israel-na-Palestina
Mwandishi wa Jarida la The Heartz mmoja ambae nilikutana huko mashariki ya mbali alivutiwa na makala hii, na wakati huo yeye alikuwa ameshasimulia kwa kirefu kupitia jarida lake na kupitia mtandao wa Wikipedia, hivyo "akaniomba" kuitumia makala yangu kuhariri makala zake. Nami nikamruhusu afanye hivyo.
Hiii hapa chini.
https://en.m.wikipedia.org/wiki/History_of_the_Israeli–Palestinian_conflict
Hivi ukisikia Wikipedia unatetemeka sana ndugu yangu,
Sasa nikusaidia, mwandishi wa wikipedia ametumia makala hii yangu kuhariri historia yake masaa manne tangu ilipowekwa mtandaoni 2011,
hebu jioneni hapa chini,
Last edited 4 hours ago by an anonymous user
History of the IsraeliPalestinian conflict
The history of the IsraeliPalestinian conflict started in the late 19th century and early 20th century. The end of the 19th century and the beginning of the 20th century are marked by the birth of two major nationalist movements among the Jews and among the Arabs, both geared towards attaining sovereignty for their people in the Middle East.
This conflict came from the intercommunal violence in Mandatory Palestine between Jews and Arabs from 1920 and erupted into full-scale hostilities in the 194748 civil war. The conflict continues to the present day on various levels.
Contents
Historic overview
19th century to 1920
File
😀aily Life in Southern Israel under rocket fire.wmv.
Read in another language
Wikipedia ®
Mobile-
Desktop
Content is available under CC BY-SA 3.0 unless otherwise noted.
Terms of Use
Privacy