JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini
Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa ajili ya kuimarisha #Haki za msingi za binadamu, uhuru wa raia ikiwemo ulinzi wa taarifa zao na kutoa adhabu kwa wanaokiuka
Mpaka sasa #Tanzania bado haina Sheria mahususi kwa ajili ya #UlinziWaData ingawa Serikali kupitia Wizara ya TEHAMA imeahidi kuandaa Muswada mapema iwezekanavyo
Upvote
0