Makubaliano ya uwekezaji wa bandari ni "kick" ya CHADEMA iliyobuma

Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.

Kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakiongozwa na Mdude Nyagali waliotaka kutumia suala hili kuitisha maandamano ambayo kimsingi ni utaratibu wa kufanya fujo kwenye mfumo wa kidemokrasia. Wengi wanatambua demokrasia ni mfumo unaopendelea mijadala zaidi kuliko maandamano lakini CHADEMA walitaka kuitisha maandamano. Hii ikawa ni kiki ya kwanza iliyobuma.

Kuzunguka nchi nzima kujaribu kupotosha habari za nchi kuuzwa na mambo mengine kupitia uwekezaji wa bandari. Baada ya CCM kuingilia kati na kuelimisha Umma na Umma ukaelewa Elimu ya uwekezaji wa bandari walioyopewa na CCM kuliko upotoshaji wa CHADEMA. Hiyo ikawa ni kiki ya pili iliyobuma.

Kwa kiki hii kubuma ambayo naweza kusema " it was last kick of dying horse" ni ishara mbaya kwa CHADEMA hususani kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa na uchaguzi mdogo katika Jimbo na Mbarali na uchaguzi wa udiwani katika kata mbalimbali.

Je tutarajie nini?
Tutarajie CHADEMA kugoma kushiriki uchaguzi huu Kwa kisingizio hakuna tume huru?

Tutarajie kulaumiwa Kwa CCM pale CHADEMA itakaposhindwa Kwa aibu kwenye uchaguzi huo?

Macho na masikio ya watanzania Kwa Sasa ni kwenye uchaguzi huu mdogo ili wafahamu, nani kaeleweka Zaidi kwenye suala la uwekezaji wa bandari, ni CCM au CHADEMA?
Mtu isipomfaa akili yake basi utamfaa ujinga wake. A word is enough for the wise.
 
Suala la Bandar sio suala la Chadema, ni suala la Watanzania wenye kuipenda nchi yal kwa manufaa ya vizazi vijavyo..View attachment 2712171
Sio kweli!
La bandari ni Waislam vs Wakristo.
Mwanzo lilikuwa la wananchi, lkn liliposhikiwa bango na Maaskofu mpk kwa kushirikiana na CDM hapo ndipo lilipopoteza mwelekeo na kuwa la Udini zaidi na wala sio Utanzania tena.

Na hata kesi ya jana Mbeya ni ya Mawakili Wakristo.!
 
Kila mtu ana uhuru wa kuchambua uongozi wa mtu kwa namna aonavyo inafaaa, Mimi namuona Jk alikuwa Kiongozi Mzuri sana kwny kila eneo kwa mifano halisi lakini pia natambua na Wewe una sababu na ushahidi wa kumuona alikuwa Kiongozi wa hovyo na mifano bila shaka unayo na nina heshimu hilo

Ushamba ni kuamini unaloamini Wewe ndio sheria na kila mtu anapaswa kuamini hivyo na asipoamini hivyo ana tatizo

nikisema Jakaya ni Mwanasiasa mzuri kwa kupanga mikakati na kutekeleza nakuwa na ushahidi wa hilo na Wewe unaweza ukasema nooo hana lolote kila alilopanga alichemka hilo nakubishia vipi?
Hawezi kukuelewa.
Wanataka kila wanayemwona wao mbaya basi sote tumwone mbaya and vice verse
 
CHADEMA imemsaidia Mwabukusi kutengeneza jina lake kisiasa. Kwa sasa Mwabukusi ni mkubwa kuliko CHADEMA nzima. Pia CHADEMA wana kazi nzito ya kujisafisha kwamba hawana udini kwenye siasa zao baada ya kuitisha mkutano uliojaa mapadre, wachungaji na maaskofu. Ikumbukwe CHADEMA bado haijaweza kujisafisha kwenye kashfa ya ukanda na ukabila.
Na kwa jinsi alivyopandishwa Chati, lazima ataingia kwenye Siasa, ingawa anasema hayuko huko ila tushamjua! Na alivyo kwenye Chati Sasa hivi atagombea kupitia CCM chama kubwa lenye uhakika!
 
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa.

Kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA wakiongozwa na Mdude Nyagali waliotaka kutumia suala hili kuitisha maandamano ambayo kimsingi ni utaratibu wa kufanya fujo kwenye mfumo wa kidemokrasia. Wengi wanatambua demokrasia ni mfumo unaopendelea mijadala zaidi kuliko maandamano lakini CHADEMA walitaka kuitisha maandamano. Hii ikawa ni kiki ya kwanza iliyobuma.

Kuzunguka nchi nzima kujaribu kupotosha habari za nchi kuuzwa na mambo mengine kupitia uwekezaji wa bandari. Baada ya CCM kuingilia kati na kuelimisha Umma na Umma ukaelewa Elimu ya uwekezaji wa bandari walioyopewa na CCM kuliko upotoshaji wa CHADEMA. Hiyo ikawa ni kiki ya pili iliyobuma.

Kwa kiki hii kubuma ambayo naweza kusema " it was last kick of dying horse" ni ishara mbaya kwa CHADEMA hususani kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa na uchaguzi mdogo katika Jimbo na Mbarali na uchaguzi wa udiwani katika kata mbalimbali.

Je tutarajie nini?
Tutarajie CHADEMA kugoma kushiriki uchaguzi huu Kwa kisingizio hakuna tume huru?

Tutarajie kulaumiwa Kwa CCM pale CHADEMA itakaposhindwa Kwa aibu kwenye uchaguzi huo?

Macho na masikio ya watanzania Kwa Sasa ni kwenye uchaguzi huu mdogo ili wafahamu, nani kaeleweka Zaidi kwenye suala la uwekezaji wa bandari, ni CCM au CHADEMA?
hata kipindi cha kupambana na wakoloni kulikuwa na vibaraka waliowaunga mkono wakoloni lakini pamoja na uwepo wa vibaraka wakoloni walifurushwa, vivyo hivyo hata nyie vibaraka wa warabu wa dpworld mliogeuka makuwadi yao tutawafurusha pamoja na hao mabwana zenu wapumbavu nyinyi.
 
Sio kweli!
La bandari ni Waislam vs Wakristo.
Mwanzo lilikuwa la wananchi, lkn liliposhikiwa bango na Maaskofu mpk kwa kushirikiana na CDM hapo ndipo lilipopoteza mwelekeo na kuwa la Udini zaidi na wala sio Utanzania tena.

Na hata kesi ya jana Mbeya ni ya Mawakili Wakristo.!
Suala la Maaskofu kuliongolea wala halizuii kitu kusema kuna vitu sio vizur kwenye IGA, NI Baraza la Maaskofu ndilo likimlalua Magufuli na Chadema wakipitia humohumo msisitizo wa hoja zao kama za mauaji ya watu pamoja issue za Covid 19.

Na nakukumbusha tena ni Baraza la Maaskafu enzi ya awamu ya 3 ya Rais Mkapa kipindi cha ubinafsishaji kutobinafsisha Bandari na Mkapa akasusa kubinafsisha Bandari.
 
CHADEMA imemsaidia Mwabukusi kutengeneza jina lake kisiasa. Kwa sasa Mwabukusi ni mkubwa kuliko CHADEMA nzima. Pia CHADEMA wana kazi nzito ya kujisafisha kwamba hawana udini kwenye siasa zao baada ya kuitisha mkutano uliojaa mapadre, wachungaji na maaskofu. Ikumbukwe CHADEMA bado haijaweza kujisafisha kwenye kashfa ya ukanda na ukabila.
Ni bora mwabukusi awe mkubwa kuliko mapumbavu ya ccm yale matekaji ya mabus na wapiga brashi fake wa korogwe.
 
Na kwa jinsi alivyopandishwa Chati, lazima ataingia kwenye Siasa, ingawa anasema hayuko huko ila tushamjua! Na alivyo kwenye Chati Sasa hivi atagombea kupitia CCM chama kubwa lenye uhakika!
makuwadi ya cvm aka puppets ya warabu yamehonga bandari kwa hongo ya matumbo yake.
 
Suala la Maaskofu kuliongolea wala halizuii kitu kusema kuna vitu sio vizur kwenye IGA, NI Baraza la Maaskofu ndilo likimlalua Magufuli na Chadema wakipitia humohumo msisitizo wa hoja zao kama za mauaji ya watu pamoja issue za Covid 19.

Na nakukumbusha tena ni Baraza la Maaskafu enzi ya awamu ya 3 ya Rais Mkapa kipindi cha ubinafsishaji kutobinafsisha Bandari na Mkapa akasusa kubinafsisha Bandari.
magaidi huwa yanamatatizo sana wala usihangaike kuyajibu maana huwa yanajitia wazimu na huwa najiuliza kama yangekuwa mengi hapa nchini yangetutesa sana cha msingi kwenye chaguz tuyakatae yote.
 
Na kwa jinsi alivyopandishwa Chati, lazima ataingia kwenye Siasa, ingawa anasema hayuko huko ila tushamjua! Na alivyo kwenye Chati Sasa hivi atagombea kupitia CCM chama kubwa lenye uhakika!
Tusubiri tuone. Mwabukusi hana historia nzuri na CHADEMA kwasababu alishawahi kuwahama na kwenda NCCR. Wao CHADEMA ndo wanajipendekeza kwa Mwabukusi.
 
Back
Top Bottom