Makubaliano ya uwekezaji wa bandari ni "kick" ya CHADEMA iliyobuma

Mtu isipomfaa akili yake basi utamfaa ujinga wake. A word is enough for the wise.
 
Suala la Bandar sio suala la Chadema, ni suala la Watanzania wenye kuipenda nchi yal kwa manufaa ya vizazi vijavyo..View attachment 2712171
Sio kweli!
La bandari ni Waislam vs Wakristo.
Mwanzo lilikuwa la wananchi, lkn liliposhikiwa bango na Maaskofu mpk kwa kushirikiana na CDM hapo ndipo lilipopoteza mwelekeo na kuwa la Udini zaidi na wala sio Utanzania tena.

Na hata kesi ya jana Mbeya ni ya Mawakili Wakristo.!
 
Hawezi kukuelewa.
Wanataka kila wanayemwona wao mbaya basi sote tumwone mbaya and vice verse
 
Na kwa jinsi alivyopandishwa Chati, lazima ataingia kwenye Siasa, ingawa anasema hayuko huko ila tushamjua! Na alivyo kwenye Chati Sasa hivi atagombea kupitia CCM chama kubwa lenye uhakika!
 
hata kipindi cha kupambana na wakoloni kulikuwa na vibaraka waliowaunga mkono wakoloni lakini pamoja na uwepo wa vibaraka wakoloni walifurushwa, vivyo hivyo hata nyie vibaraka wa warabu wa dpworld mliogeuka makuwadi yao tutawafurusha pamoja na hao mabwana zenu wapumbavu nyinyi.
 
Suala la Maaskofu kuliongolea wala halizuii kitu kusema kuna vitu sio vizur kwenye IGA, NI Baraza la Maaskofu ndilo likimlalua Magufuli na Chadema wakipitia humohumo msisitizo wa hoja zao kama za mauaji ya watu pamoja issue za Covid 19.

Na nakukumbusha tena ni Baraza la Maaskafu enzi ya awamu ya 3 ya Rais Mkapa kipindi cha ubinafsishaji kutobinafsisha Bandari na Mkapa akasusa kubinafsisha Bandari.
 
Ni bora mwabukusi awe mkubwa kuliko mapumbavu ya ccm yale matekaji ya mabus na wapiga brashi fake wa korogwe.
 
Na kwa jinsi alivyopandishwa Chati, lazima ataingia kwenye Siasa, ingawa anasema hayuko huko ila tushamjua! Na alivyo kwenye Chati Sasa hivi atagombea kupitia CCM chama kubwa lenye uhakika!
makuwadi ya cvm aka puppets ya warabu yamehonga bandari kwa hongo ya matumbo yake.
 
magaidi huwa yanamatatizo sana wala usihangaike kuyajibu maana huwa yanajitia wazimu na huwa najiuliza kama yangekuwa mengi hapa nchini yangetutesa sana cha msingi kwenye chaguz tuyakatae yote.
 
Kichwa bila akili ni mzigo kwa shingo.
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha upumbavu!
 
Na kwa jinsi alivyopandishwa Chati, lazima ataingia kwenye Siasa, ingawa anasema hayuko huko ila tushamjua! Na alivyo kwenye Chati Sasa hivi atagombea kupitia CCM chama kubwa lenye uhakika!
Tusubiri tuone. Mwabukusi hana historia nzuri na CHADEMA kwasababu alishawahi kuwahama na kwenda NCCR. Wao CHADEMA ndo wanajipendekeza kwa Mwabukusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…