Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

hivi huyu na anayeuza bandari yupi kichaa zaidi?
huyu nafikiri anaweza kuwa anamaono wa uzao usiongezeke kwa kuwa kila kitu kishauzwa hivyo huku msije!

Acha kujitoa ufahamu . Bandari imeuzwa lini na imeuzwa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…