Makuhani wa Ukuu Bila Kuhani mkuu

Makuhani wa Ukuu Bila Kuhani mkuu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Naam

Kesi ya ngedere imesumbua sana sana hadi LYAKATA akaamua achague Makuhani wa Ukuu! Lakin Kuhani Mkuu hayupo kwenye kikosi! Wakati kesi kila siku anayo huyo Kuhani mkuu,

Hii ina maana gani kwake! Au kaachwa aendelee na kazi ya Kondoa Irangi kwenye mapango?

Britanicca
 
Haa jamaa dah bila hapo chini nisingefungua kodi,

Mwigulu ndo Kuhani mkuu, na wakuu wa Ukuhani nadhani ni ndo akina Assad na kamati,

Kwamba mwigulu aachwe aendelee kuchora kwenye mawe kama watu wa kale wa mapangoni kondoa irangi, achore Rais wa 2015 maweni,

Kweli inafikirisha kwanini kwenye kamati hayuko? Au ni njia ya kumchinja?
 
Jamaa m***ngerema sana wewe 🤩

kaorogina za siku
 
Avatar yako mboni naona hao wanakulana mate?
 
Naam !
Kesi ya ngedere imesumbua sana sana hadi LYAKATA akaamua achague Makuhani wa Ukuu! Lakin Kuhani Mkuu hayupo kwenye kikosi ! Wakati kesi kila siku anayo huyo Kuhani mkuu,

Hii ina maana gani kwake! Au kaachwa aendelee na kazi ya Kondoa Irangi kwenye mapango?

Britanicca
waziri wa fedha mheshimiwa Mwigulu Nchemba hajaunganishwa kwenye kamati ya kodi Maana yake anawashiwa taa nyekundu ya kutokuwa waziri wa fedha
 
Haa jamaa dah bila hapo chini nisingefungua kodi,

Mwigulu ndo Kuhani mkuu, na wakuu wa Ukuhani nadhani ni ndo akina Assad na kamati,

Kwamba mwigulu aachwe aendelee kuchora kwenye mawe kama watu wa kale wa mapangoni kondoa irangi, achore Rais wa 2015 maweni,

Jamaa m***ngerema sana wewe 🤩

Kweli inafikirisha kwanini kwenye kamati hayuko? Au ni njia ya kumchinja?
😂😂😂 Khaa! Agiza kinywaji mkuu. Umenivusha
 
Naam !
Kesi ya ngedere imesumbua sana sana hadi LYAKATA akaamua achague Makuhani wa Ukuu! Lakin Kuhani Mkuu hayupo kwenye kikosi ! Wakati kesi kila siku anayo huyo Kuhani mkuu,

Hii ina maana gani kwake! Au kaachwa aendelee na kazi ya Kondoa Irangi kwenye mapango?

Britanicca

Huwezi kumuweka waziri (kibaraka wa serikali) kwenye kamati ambayo mwisho wa siku inatakiwa itoe ushauri au mapendekezo kwa serikali hiyo hiyo...
 
Tuhamie Burundi basi maaaana hii ni code za kutosha!! Mpaka kodi ya pango ni ndefu kama Mwezi wa kwanza??
 
Hatakiwi kuwepo,yeye ndiye anayechunguzwa.
Tunajua fagio la chuma halijampitia kwa sababu ya dock aliyopo,na bado tukutela yupo denial.
Na yeye anaondoka tu akale punda vizuri.
waziri wa fedha mheshimiwa Mwigulu Nchemba hajaunganishwa kwenye kamati ya kodi Maana yake anawashiwa taa nyekundu ya kutokuwa waziri wa fedha
Haa jamaa dah bila hapo chini nisingefungua kodi,

Mwigulu ndo Kuhani mkuu, na wakuu wa Ukuhani nadhani ni ndo akina Assad na kamati,

Kwamba mwigulu aachwe aendelee kuchora kwenye mawe kama watu wa kale wa mapangoni kondoa irangi, achore Rais wa 2015 maweni,

Kweli inafikirisha kwanini kwenye kamati hayuko? Au ni njia ya kumchinja?
Bila shaka ataandaa waraka mrefu kujibu ni kwanini hayumo kwenye Tume.
Lakini taratibu wenzake wanampaka harufu mbaya azidi kunuka!
 
Wale ambao tunaunga mkono kwa sasa kuhusu fyekeo la maza ila hatuungi mkono maza kugombea urais 2025, tujuane hapa.
Aendelee kufyeka amfyeke msomali anayehusika na mahindi,amfyeke miguu ya chemba,amfyeke ashatwo,amfyeke masabuni,amfyeke yule kiranja wa samaki,Nguruwe na ng'ombe lakini yote kwa yote itakapotimia mwezi wa saba mwakani awe ashajifyekelea mbali.
 
Siasa za uwajibikaji kwa kutafuta kiki lazima zikome mara moja
 
Back
Top Bottom