Makuhani wa Ukuu Bila Kuhani mkuu

Makuhani wa Ukuu Bila Kuhani mkuu

Lamsingi hawa watu wapigwe kabisa stop kurudi kwa namna yeyote kwenye mifumo na ikiwezekana CCM iwapige marufuku kujihusisha na siasa milele.

Wanasema wamesoma wanaakili na exposure waende wakatafute kazi sekta binafsi na huku wawaachie watanzania wengine wazalendo wasiowaza Uraisi.

Wazuiwe hata kugombea ubunge kupitia huko CCM ili wengine wajifunze na watu waache kuwazawaza uchaguzi.
 
Back
Top Bottom