Alaf kakistahafu katapata milion 9.5 yule dogo mpumbafu sana ,nakumbuka kalikua kanapiga kelele "Heshimu bendera ,heshimu bendera!!" Yaan kanadhan heshima inaletwa Kwa nguvu na mikwara ,,,!!!Hahaha. Umenikumbusha kisa cha coplo Abdul yule wa oysterbay aliyewahi kufyatua risasi 3 mbele ya ADAM MALIMA.alijinasibu kwamba amevaa mkanda wenye rangi za bendera ya taifa. Sirro akasema ni sahihi kwa afande kufanya vile.
Malima akafikishwa mahakamani wakati kesi inaendelea malima akateuliwa na JPM kuwa RC mara.
Yule afande akiwa bado anakula vumbi kwenye lindo na doria
hahaha, Sasa hapo una omba yule afande aje awe askari wilaya au mkoa uliopo.Hahaha. Umenikumbusha kisa cha coplo Abdul yule wa oysterbay aliyewahi kufyatua risasi 3 mbele ya ADAM MALIMA.alijinasibu kwamba amevaa mkanda wenye rangi za bendera ya taifa. Sirro akasema ni sahihi kwa afande kufanya vile.
Malima akafikishwa mahakamani wakati kesi inaendelea malima akateuliwa na JPM kuwa RC mara.
Yule afande akiwa bado anakula vumbi kwenye lindo na doria
Na huo ndo ukweli, sio kusingizia vyama vya upinzani tu.Watanzania ndiyo hawana nguvu msikimbilie kusema hakuna upinzani wenye nguvu.
Juzi Nondo katekwa hadharani nani alipambana kuzuia asitekwe?
Amini nakwambia Samia anaondoka by 2025!!Mkuu hatuna upinzani wenye nguvu ya kukitoa chama cha mbogamboga madarakani kwa mifumo ya sasa.
Hakuna chama chochote cha upinzani kitaweza kukitoa chama tawala kwa mifumo ya sasaMkuu hatuna upinzani wenye nguvu ya kukitoa chama cha mbogamboga madarakani kwa mifumo ya sasa.
Jee watanzania wapo tayari kushinikiza hayo mabadiliko?Hakuna chama chochote cha upinzani kitaweza kukitoa chama tawala kwa mifumo ya sasa
Mifumo ibadilike kwanza , else watakuwa wanazunguka pale pale
Wapiga spana, wenye mdomo mdomo hasa wanazoungumzia ukosefu wa ajira kwa vijana wanasakwa mno. Labda wanahofu juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama hoja ya kutoa ccm madarakaniAmini nakwambia Samia anaondoka by 2025!!
Madili hayo umewekwa mpunga mezanisometimes nawaza hao wajinga wenye mishahara ya sabuni,kwanini wana kuwaga mazuzu Sana.
Labda watokee watanzania ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wafanye hiyo kazi iliyotukuka. Kiufupi ccm itatoka kwa Mapinduzi ya kijeshi.Jee watanzania wapo tayari kushinikiza hayo mabadiliko?
Wanataka kukaa majumbani mwao ila hao wanaowaita "wapinzani" ndiyo wapambane kubadilisha Hali mambo.
Nchi za wenzetu, wananchi ndio wanashikamana na kusukuma mabadilikoJee watanzania wapo tayari kushinikiza hayo mabadiliko?
Wanataka kukaa majumbani mwao ila hao wanaowaita "wapinzani" ndiyo wapambane kubadilisha Hali mambo.
Inatishwa na TLP. Hapo umesema lakini hata nafsi yako inakucheka😃😀😄Siyo kweli, chadema haina lolote,dola haitishwi na chadema
Dola haitishwi na chama chochote cha siasa kwa sasa,bora cuf 2005-2000 ilitisha,ukawa 2015 dola haikulalaInatishwa na TLP. Hapo umesema lakini hata nafsi yako inakucheka😃😀😄
Jeshi tusiliingize kwenye hili jambo rahisi. Tuache ubinafsi.Labda watokee watanzania ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wafanye hiyo kazi iliyotukuka. Kiufupi ccm itatoka kwa Mapinduzi ya kijeshi.
Labda watokee watanzania ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wafanye hiyo kazi iliyotukuka. Kiufupi ccm itatoka kwa Mapinduzi ya kijeshi.Nchi za wenzetu, wananchi ndio wanashikamana na kusukuma mabadiliko
Nchi yetu wananchi wamekaa nyumbani wanategemea wapinzqni ndio wawaletee mabadiliko
Unaona tatizo linatokea wapi, jamii ya mtanzania ni kikwazo namba moja