DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hahaha. Umenikumbusha kisa cha coplo Abdul yule wa oysterbay aliyewahi kufyatua risasi 3 mbele ya ADAM MALIMA.alijinasibu kwamba amevaa mkanda wenye rangi za bendera ya taifa. Sirro akasema ni sahihi kwa afande kufanya vile.
Malima akafikishwa mahakamani wakati kesi inaendelea malima akateuliwa na JPM kuwa RC mara.
Yule afande akiwa bado anakula vumbi kwenye lindo na doria
Alaf kakistahafu katapata milion 9.5 yule dogo mpumbafu sana ,nakumbuka kalikua kanapiga kelele "Heshimu bendera ,heshimu bendera!!" Yaan kanadhan heshima inaletwa Kwa nguvu na mikwara ,,,!!!
 
Hahaha. Umenikumbusha kisa cha coplo Abdul yule wa oysterbay aliyewahi kufyatua risasi 3 mbele ya ADAM MALIMA.alijinasibu kwamba amevaa mkanda wenye rangi za bendera ya taifa. Sirro akasema ni sahihi kwa afande kufanya vile.
Malima akafikishwa mahakamani wakati kesi inaendelea malima akateuliwa na JPM kuwa RC mara.
Yule afande akiwa bado anakula vumbi kwenye lindo na doria
hahaha, Sasa hapo una omba yule afande aje awe askari wilaya au mkoa uliopo.

Ila risasi 3 mbele yangu, trust me lazima niku sake tuongee vizuri
 
Hakuna chama chochote cha upinzani kitaweza kukitoa chama tawala kwa mifumo ya sasa
Mifumo ibadilike kwanza , else watakuwa wanazunguka pale pale
Jee watanzania wapo tayari kushinikiza hayo mabadiliko?

Wanataka kukaa majumbani mwao ila hao wanaowaita "wapinzani" ndiyo wapambane kubadilisha Hali mambo.
 
Nchi za wenzetu, wananchi ndio wanashikamana na kusukuma mabadiliko

Nchi yetu wananchi wamekaa nyumbani wanategemea wapinzqni ndio wawaletee mabadiliko

Unaona tatizo linatokea wapi, jamii ya mtanzania ni kikwazo namba moja
 
Labda watokee watanzania ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wafanye hiyo kazi iliyotukuka. Kiufupi ccm itatoka kwa Mapinduzi ya kijeshi.
 
Back
Top Bottom