Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kama haitishwi na CHADEMA kwa nini ni CHADEMA tu ndiyo wanaoshambuliwa?Dola haitishwi na chama chochote cha siasa kwa sasa,bora cuf 2005-2000 ilitisha,ukawa 2015 dola haikulala
Sasa kwani uongo? Kwanini hawataki kuambiwa ukweli wa mambo ulivyo?Wapiga spana, wenye mdomo mdomo hasa wanazoungumzia ukosefu wa ajira kwa vijana wanasakwa mno. Labda wanahofu jui ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama hoja ya kutoa ccm madarakani
Ni upumbavu kutoa kauli za kijinga kama yako! Upinzani gani wakati mwenyewe umekaa kama zuzu huna unaloweza kufanya!Mkuu hatuna upinzani wenye nguvu ya kukitoa chama cha mbogamboga madarakani kwa mifumo ya sasa.
Jeshi inabidi liingie kwa sababu. Njia za kijeshi ndio zitafanikiwa. Ccm wanaongoza nchi kwa njia za kijeshi, wizi wa kura na kuharibu uchaguzi huku wakisaidiwa na vyombo vya ulinzi na usalama hizo ni mbinu za kijeshi, kuzuia maandamano ya amani na yenyewe ni mbinu ya kijeshi. Njia za kiraia kama uchaguzi haziwezi kuwatoa ccm madarakani mbinu ya uhakika ya kuitoa ccm madarakani ni Mapinduzi ya kijeshi.Jeshi tusiliingize kwenye hili jambo rahisi. Tuache ubinafsi.
Chadema wameshambuliwa wapi?!..aliyeuawa mbeya ni chadema,nondo ni chadema,bonge wa kibaha ni chadema?!..msijipe umuhimu msiokua naoKama haitishwi na CHADEMA kwa nini ni CHADEMA tu wanaoshambuliwa?
Umewahi kuona wanajishughulisha na CHAUMA au NRA?
Sasa mtu akifanaya kosa la jinai ndiyo anatekwa na kuuawawa badala kushitakiwa mahakamani?Kutukana sio kukosoa.Kutukana ni kosa la jinai.Unapojifanya mwamba unapotukana ukijiwa ili uwekwe mbaroni endelea na umwamba wacha kulia kulia kama kigoli.
Wazia wafanyakazi wa Tanzania kuongezwa mishahara wanavyokuchukulia kama ni hisani ya Serikali kwao.Ni upumbavu kutoa kauli za kijinga kama yako! Upinzani gani wakati mwenyewe umekaa kama zuzu huna unaloweza kufanya!
Masuala ya ukosefu wa ajira kwa vijana ni hoja ambayo ccm wanapambana kuizika. Maana vijana wasiokuwa na ajira ni wengi mno zaidi ya 85% hadi 95% ya vijana waliomaliza vyuo hawana ajira na ni tegemezi. Sasa idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na ajira ni hatari kwa ccm wanaweza kuwaondoa ccm kwenye uchaguzi au hata maandamano makubwa sana mpaka ccm ikatoka madarakani, vijana wakaamua kuandamana mpaka ikulu kama maandamano ya Sri Lanka au Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira wanasakwa, anza kuhesabu Soka, Nondo.......Sasa kwani uongo? Kwanini hawataki kuambiwa ukweli wa mambo ulivyo?
Chadema wameshambuliwa wapi?!..aliyeuawa mbeya ni chadema,nondo ni chadema,bonge wa kibaha ni chadema?!..msijipe umuhimu msiokua nao.
Polisi hawa wanaoshindwa kudhibiti tu hata vitendo vya kipumbavu vya BODABODA? Hawana kitu wanajua zaidi ya kupambana na chademaPolisi hawakufuati tu bila tatizo,kuna kitu lusako kafanya
Sasa kwanini wanapingana na huo ukweli inamaana hawataki kuambiwa ukweli wanataka kusifiwa uongo?Masuala ya ukosefu wa ajira kwa vijana ni hoja ambayo ccm wanapambana kuizika. Maana vijana wasiokuwa na ajira ni wengi mno zaidi ya 85% hadi 95% ya vijana waliomaliza vyuo hawana ajira na ni tegemezi. Sasa idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na ajira ni hatari kwa ccm wanaweza kuwaondoa ccm kwenye uchaguzi au hata maandamano makubwa sana mpaka ccm ikatoka madarakani, vijana wakaamua kuandamana mpaka ikulu kama maandamano ya Sri Lanka au Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira wanasakwa, anza kuhesabu Soka, Nondo.......
Sadly, hatuna tunachoweza kufanya sisi Watanzania kwa sasa, na wao wanajua ndo maana uchafuzi umefanyika serikali za mitaa na hakuna kinachoendelea.Sawa twende si Samia kabakiza miezi 8 twende tutafika tu October 2025
ACHENI sasa kuteteana😄😀Wahalifu wana umoja wa kuteteana
Sawa kuna kitu kafanya sasa ndiyo wamfuate na zana za kivita? Kwamba Lusako atawashambulia kwa zana kama hizo? Kwamba wangemuita aripoti kituo cha polisi angekimbia?Polisi hawakufuati tu bila tatizo,kuna kitu lusako kafanya
Nikitumia hii akili ndogo sana niliyonayo 🤣 kiufupi ccm wanaiogopa hoja ya ukosefu wa ajira kwa vijana, kwa sababu ni hoja halisi na vijana wengi mno hawana ajira kuanzia wapinzani hadi vijana wa ccm hadi vijana wasio na vyama. Ccm washajiandaa kuiba uchaguzi wa 2025, hofu yao ni vijana wasiokuwa na ajira wakiamua kuandamana kama Kenya, Sri Lanka, Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira kwa vijana wanasakwa mno, pia wanapromote vitu vya ovyo kama miziki, mitandao, michezo, mipira, uchawa, misambwanda, bongofleva, bongomuvi ili vijana wawe bize na hivyo vitu wasahau juu ya ukosefu wa ajira 🤣🤣🤣Sasa kwanini wanapingana na huo ukweli inamaana hawataki kuambiwa ukweli wanataka kusifiwa uongo?
Huu ni ukweli..Sadly, hatuna tunachoweza kufanya sisi Watanzania kwa sasa,..
Sisi tusiopewa bahasha kisirisiri tunaonesha utofauti Gani na hao wanaopewa bahasha kisirisiri?tukitegemea Viongozi ambao wanapewa Bahasha kisirisiri.
Ni ukweli unaousema sasa wao hao Chama A kwanini wanaogopa kuambiwa ukweli huo kuhusu suala la ajira? Of course yes majority vijana wengi hawana ajira sasa wao wakiambiwa hivyo si inabidi watafute ufumbuzi kwanini waogope kuambiwa ukweli?Nikitumia hii akili ndogo sana niliyonayo 🤣 kiufupi ccm wanaiogopa hoja ya ukosefu wa ajira kwa vijana, kwa sababu ni hoja halisi na vijana wengi mno hawana ajira kuanzia wapinzani hadi vijana wa ccm hadi vijana wasio na vyama. Ccm washajiandaa kuiba uchaguzi wa 2025, hofu yao ni vijana wasiokuwa na ajira wakiamua kuandamana kama Kenya, Sri Lanka, Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira kwa vijana wanasakwa mno, pia wanapromote vitu vya ovyo kama miziki, mitandao, michezo, mipira, uchawa, misambwanda, bongofleva, bongomuvi ili vijana wawe bize na hivyo vitu wasahau juu ya ukosefu wa ajira 🤣🤣🤣