Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Tuambie alichofanya Ili watanzania tujue, maana difenda na polisi wenye bunduki Kwa MTU mmoja ambaye ukimwita kituoni anakuja mwenyewe kuna nini hapo?Polisi hawakufuati tu bila tatizo,kuna kitu lusako kafanya
Unadhani wananchi ni wajinga kiasi kwamba hawaoni kuwa Kuna mbadala wa CCM?Wananchi wanajua CCM sio wazuri ila hakuna alternative.
Kwa nini wavamie "Kikomandoo"?Tuambie alichofanya Ili watanzania tujue, maana difenda na polisi wenye bunduki Kwa MTU mmoja ambaye ukimwita kituoni anakuja mwenyewe kuna nini hapo?
Mbadala ni upi? Kutakuwa na tofauti gani?Unadhani wananchi ni wajinga kiasi kwamba hawaoni kuwa Kuna mbadala wa CCM?
Acha Maskhara bwana.
Sasa unataka kusema uchaguzi ukiwa huru na haki matokeo ya chaguzi yatakuwa hivi hivi?Mbadala ni upi? Kutakuwa na tofauti gani?
Siyo kila wakati. Kama mtu unafahamika na una ofisi unaitwa tu kupunguza gharama na kama hufahamiki unafuatwa lakini siyo kwa mitutu!Kawaida polisi kufuata wahalifu na mijegeje na kupigwa jeki,
Watu watashinda hapa na pale. Ila kunahitajika mipango mikubwa, ya uhakika kuiondoa CCM madarakani. Sio mipango ya Zitto au Mbowe.Sasa unataka kusema uchaguzi ukiwa huru na haki matokeo ya chaguzi yatakuwa hivi hivi?
Yaani kila uchaguzi unajazwa mizengwe halafu unasema eti watanzania hawaoni mbdala wa CCM?
Toa mfano mmojawapo wa hiyo mipango mikubwa.Watu watashinda hapa na pale. Ila kunahitajika mipango mikubwa, ya uhakika kuiondoa CCM madarakani. Sio mipango ya Zitto au Mbowe.
Hahaha ni kweli, Huko nyima tuliambiwa tuwaache watoto wasome tusiwahusishe na siasa, na Serikali walikuwa wakali kweli.Kwa haya yanayoendea kuna siku "tutaambiwa ukitaka kufunga CCTV camera lazima upate kibali cha polisi"
Hata kwa kifo ni kifo tuhow?
Wananchi wote kuipinga CCM. Vijana, wazee, dini zote, makabila yote, vyama vyote na wasio na vyama.Toa mfano mmojawapo wa hiyo mipango mikubwa.
Siyo muda mrefu.Kwa haya yanayoendea kuna siku "tutaambiwa ukitaka kufunga CCTV camera lazima upate kibali cha polisi"
🤣 acha ujinga wewe watu wanasiraha za moto we ungeweza kwenda..??Watanzania ndiyo hawana nguvu msikimbilie kusema hakuna upinzani wenye nguvu.
Juzi Nondo katekwa hadharani nani alipambana kuzuia asitekwe?
Haya ndiyo mambo yake. Acha aandike maana kuandika kwenye mitandao ya kijamii ndiyo kazi yake.Si wako kazini? Umetuandikia so what? Kafanye mambo yako
Umesoma muktadha wa hoja? ACHENI kujiweka pembeni kazi kulaumu hao mnaowaita wapinzani.🤣 acha ujinga wewe watu wanasiraha za moto we ungeweza kwenda..??
majeshi ya mitandaoni bhana yanaweza kukukoli mpk sehemu zisizo!
Sasa miaka mitano iliyopita si walishinda hivyo hivyo? Mbona Kila uchaguzi wanaweweseshwa na CHADEMA "isiyoshinda" kwenye uchaguzi?Siasa kafanyeni huko, inajulikana siasa hamwezi, nyie mnaweza nini? Kulalamika? CCM imeshinda 99.8% mnatakq muone nini
Kwa ivo hadi Nchimbi John naye alikosea kusema alichosema?Mizengwe iko kwenye akili zenu
nadhani yalilaaniwa. yalimgongea Bwana Yesu msalabani.sometimes nawaza hao wajinga wenye mishahara ya sabuni,kwanini wana kuwaga mazuzu Sana.
Wewe ni Malaya wa CCM na CHAWA huwezi kuelewa!Siyo kweli, chadema haina lolote,dola haitishwi na chadema