Makundi 9 ya wapiganaji yaungana dhidi serikali ya Ethiopia

Makundi 9 ya wapiganaji yaungana dhidi serikali ya Ethiopia

Kwa akili zako kisoda ukajua Abiy Ahmed ni muislam?..Tundu yako weeh

Ana maana iwapo waasi watashinda basi wawe waungwana,wasimfanyie dhalili abiy.Ndo maana ya kufanya Uislam kwa lugha ya mtaani.
Sasa wewe ndugu yetu unahamanika na kuwaambia watu akili kisoda ilhali ni ugeni wako tu wa mji.
 
Kwa hio US+UK ndio waliomtuma Abiy na vikosi vyake kwenda kubaka wanawake wa Tigray,kuchoma mashamba yao na kuua watu sio?
Kubaka wanawake, kuchoma mashamba na kuua watu ndio kumesababisha wao kuasi serikali? Alafu unaposema wameua watu unatofautishaje waliouliwa kama walikuwa raia wema au TPLF?
 
Hivi vita ni Waziri mkuu wa Ethiopia alivianzisha bila kupima ukubwa wake, akikaa vibaya anachomolewa hapo.
Aliyemloga mwafrika ni mwafrika mwenzake .....

[emoji654]WATIGRAY WANASAPOTI KUBWA SANA NYUMA YAO.....

[emoji654]FALL OF ETHIOPIA AND RISE OF TIGRAY SOCIETY ....mda utaongea
 
Kwa hio US+UK ndio waliomtuma Abiy na vikosi vyake kwenda kubaka wanawake wa Tigray,kuchoma mashamba yao na kuua watu sio?
Ndani ya vita kuna mambo mengi mtu angu...[emoji654]
[emoji654]ELEWA NENO VITA /MACHAFUKO
yaani kila kitu au uchafu unaojua unafanyika humo....

[emoji654]ILA KIUHALISIA PRIME minister KAFANYA MAKOSA MAKUBWA KUKURUPUKA BILA KUPIMA UZITO WA TUKIO NA WALIOPO NYUMA YA TIGRAY SOCIETY.
 
Ila huu upuuzi wanaanzisha viongozi wa Africa. Hivi mfano watu wana pinga mambo fulani fulani na hawataki serikali muendelee why tu kidemokrasia msikubali nankuachia ngazi ili wengine wakae na wao wakileta upuuzi si mnawabalasa tu.
[emoji654]THIS IS AFRICA MTU ANGU

Yaani [emoji3578]kidemocrasia haitawaliki
[emoji3578]pia kimabavu haitawaliki.

[emoji654]here ndiyo tunaprove kuwa shida ya African ppl tunataka maendeleo huku
1. Hatutengenezi silaha za kujilinda , tunategemea tuuziwe na maadui zetu ,
2. Unafiki na usaliti unaitafuna afrika vibaya mno
3. Jamii zetu zimejaa wajinga, how??
Watu wameridhika na hali iliyopo yaani utaskia mtu anakuambia [emoji117]aah
mihimu uhai tu ,au mwisho wa siku wote tutakufa tu (huu ni ujinga ambao hauvumiliki )

but anyway all in all [emoji654] WENYE NGUVU/ AKILI HAWANA MAMLAKA
NA WENYE MADARAKA / MAMLAKA HAWANA UWEZO .
 
Hili nalo ni neno kama ilivyokua kwa Lyiba
YEAH HERE WE GOU !!

Ila tokea nimehitimu o level 2007 hadi Leo naskia huko mashuleni bado wanatumia kemikali zile zile laboratory
[emoji654]qn * sayansi na teknolojia inakua daily so hizo chemical zao haziendani na kasi ya technology & science ??
( HAKUNA CHANGES ZOZOTE )
[emoji654]NASKIA BADO WANACHEMISTRY BADO WANASUBIRIA SECOND ZA X KUDISSAPEAR !!!! NA BADO WANASUBIRIA COLOR CHANGES KWENYE TITRATION ????

[emoji654]NA KWENYE BIOS BADO WANATAFUTA PROTEIN KWENYE MAHINDI !!![emoji29][emoji29][emoji25][emoji25][emoji25]

[emoji3578]but enewei this is afurica ma men .....
 
Kubaka wanawake, kuchoma mashamba na kuua watu ndio kumesababisha wao kuasi serikali? Alafu unaposema wameua watu unatofautishaje waliouliwa kama walikuwa raia wema au TPLF?
Kubaka wanawake, kuchoma mashamba na kuua watu ndio kumesababisha Watigray wakaipenda sana serikali ya Abiy na ndio maana hata Sasa hivi Watigray wanaisifia na kuipongeza Serikali hio.
 
Kubaka wanawake, kuchoma mashamba na kuua watu ndio kumesababisha Watigray wakaipenda sana serikali ya Abiy na ndio maana hata Sasa hivi Watigray wanaisifia na kuipongeza Serikali hio.
Umeruka swali. Sio mbaya hili nalo jibu.
 
Ndani ya vita kuna mambo mengi mtu angu...[emoji654]
[emoji654]ELEWA NENO VITA /MACHAFUKO
yaani kila kitu au uchafu unaojua unafanyika humo....

[emoji654]ILA KIUHALISIA PRIME minister KAFANYA MAKOSA MAKUBWA KUKURUPUKA BILA KUPIMA UZITO WA TUKIO NA WALIOPO NYUMA YA TIGRAY SOCIETY.
Subiri uone Watigray wanavyoenda kumla ndogo Abiy.
 
Aliyemloga mwafrika ni mwafrika mwenzake .....

[emoji654]WATIGRAY WANASAPOTI KUBWA SANA NYUMA YAO.....

[emoji654]FALL OF ETHIOPIA AND RISE OF TIGRAY SOCIETY ....mda utaongea
Abby alipoingia madarakani alichoanza nacho ni kuwaondoa Watigray kwenye vyeo vikubwa, na wakajibu mapigo.
 
Hivi vita ni Waziri mkuu wa Ethiopia alivianzisha bila kupima ukubwa wake, akikaa vibaya anachomolewa hapo.
Ahmed Abiy kabadilika ghafla sana. Watu waliona nuru kupitia kwake. Ila aliporudi Sha tu uhusiano na Eritrea ndio mambo yakavurugika wakawa marafiki tena na Rais Isaias Afewerki wa Eritrea.

Kumbuka Eritrea ilikuwa GA Ethiopia ila wakaanga uhasi dhidi ya serikali ya Melez zinawi. Kumbuka wakati huo huyu Abiy alikuwa pamoja na watigray na adui mkubwa wa wahasi wa Eritrea walitaka kujitenga. Wakat huo Abiy alikuwa kijana mdogo sana tena walikuwa porini na kuipundua serikali dhalimu ya mengistu.

Rais wa Eritrea Isaias Afewerki ndugu zake zote wamekulia kusoma Addis ababa. Na cha kushangaza wa Eritrea ni jamii ya Tigray na lugha ya sawa Tigrnya.

Majimbo, ukabila na ubinafsi inaitafuna Ethiopia.

Sasa hivi Oromo na Tigray wa Naungana watu ambao walikuwa na uhasama wa muda mrefu. Lakini ni muungano wa muda tu.
 
Abby alipoingia madarakani alichoanza nacho ni kuwaondoa Watigray kwenye vyeo vikubwa, na wakajibu mapigo.
Kumbuka hao Abiy alikuwa anawaondoa walikuwa ndio marafiki zake toka walivyokuwa porini na kuipundua serikali ya mengistu haile Mariam. Pia ndo hao hao Abiy alikuwa nao katika vita dhidi ya Eritrea walipojitenga dhidi ya Rais wa Eritrea Isaias Afewerki ambaye baadaye Abiy alipokuwa waziri mkuu wakawa marafiki tena.
 
Ahmed Abiy kabadilika ghafla sana. Watu waliona nuru kupitia kwake. Ila aliporudi Sha tu uhusiano na Eritrea ndio mambo yakavurugika wakawa marafiki tena na Rais Isaias Afewerki wa Eritrea.

Kumbuka Eritrea ilikuwa GA Ethiopia ila wakaanga uhasi dhidi ya serikali ya Melez zinawi. Kumbuka wakati huo huyu Abiy alikuwa pamoja na watigray na adui mkubwa wa wahasi wa Eritrea walitaka kujitenga. Wakat huo Abiy alikuwa kijana mdogo sana tena walikuwa porini na kuipundua serikali dhalimu ya mengistu.

Rais wa Eritrea Isaias Afewerki ndugu zake zote wamekulia kusoma Addis ababa. Na cha kushangaza wa Eritrea ni jamii ya Tigray na lugha ya sawa Tigrnya.

Majimbo, ukabila na ubinafsi inaitafuna Ethiopia.

Sasa hivi Oromo na Tigray wa Naungana watu ambao walikuwa na uhasama wa muda mrefu. Lakini ni muungano wa muda tu.

Fafanua:
WaTigray hawakupenda Eritrea wapate Uhuru?
Uhusiano mzuri wa Abiy na Rais wa Eritrea unahusika vipi kuchangia hii Vita ya sasa?
 
SPONSOR NI USA NA UK .

Ethiopia ilikuwa inakua kwa speed ya hatar , so ili kustop , suluhisho ni vurugu ka hizo.
US na UK ndo walimlazimisha PM Ahmed kuanzisha vita na Tigray?
Abby Ahmed alianzisha vita hila kua na taarifa sahihi juu ya uwezo wa hao waasi na madhara ya baadae kama haya
 
Nchi imepitia majanga sana hii. Njaa, vita za wenyewe kwa wenyewe hadi kujitenga kwa Eritrea na sasa bado hakijaeleweka. Juhudi za kufufua uchumi ndo zilianza kuchipua, sasa zinafifia. Sijui bwawa la umeme litapona? duh!

Hapo ukichunguza hukosi kusikia ka mkono ka USA na jamaa zake.

Mungu ibariki Afrika
Mkomo wa chuma wa hayati Meles Zenawi uliijenga sana Ethiopia na sasa inadidimia kwa kasi ya ajabu.
PM wa sasa atajutia sana kuanzisha vita bila kujua athari zake
 
Sio kweli kuna nchi ngapi zinazopaa kiuchumi mbona hawapigani. Ethiopia kwa muda mrefu imekuwa ikitawaliwa kidikteta sana na wapinzani wamekuwa wakinyanyasika sana ktk nchi hiyo.

Hili linalofanyika Ethiopia iko siku itakuja kufanyika hata hapa Tanzania ambapo ccm imegeuza Chadema kuwa "Their Punching Bag" kwa manyanyaso na mauaji ya watu wake.
It's just a matter of time.
Unaizungumzia je Rwanda mkuu?
 
Kwamba wazir mkuu alivianzisha, yan watu wajitangazie uhuru wao ndani ya nchi huru then uwachekee???

Leo hii Kilimanjaro iseme ni nchi huru then waachiwe hv hv hali ya kuw hawatak hat majadiliano
Kwa nn usingetolea mfano Mtwara?
 
Fafanua:
WaTigray hawakupenda Eritrea wapate Uhuru?
Ndio mkuu. Eritrea ilipopata uhuru 1993 serikali ya Ethiopia ilikuwa chini ya TPLF chini ya Melez Zinawi na WaTigray wengine. Abiy ambae baba ni Oromo na mama Amhara alikuwa TPLF tangu porini. Eritrea lilikuwa jimbo la Ethiopia na jimbo muhimu kwasababu ya bandari na bahari. Ilipakana na na Tigray. Eritrea na Tigray wote ni jamii ya Tigreans na lugha yao ni Tirinya (tigrinian).

Rais wa sasa wa Eritrea Isaias Afewerkina wenzake wengi kwa ubinafsi wakaanzisha vuguvugu na kutaka kujitenga kwasababu walizaliwa yani kwao ni Eritrea.

Lakini Tigray hawakutaka chini ya mez Zinawi licha ya undugu fikiria.

Hii iliwauma sana Waethiopia kwasababu Eritrea I kachukua bahari yote ya red sea na kuwa acha Waethiopia wakiwa landlocked na kutegemea bandari ya nchi ndogo Djibouti. Wee angalia iyo ramani chini.

Pia kumbuka serikali ya Eritrea chini ya Rais wao Isaias Afewerkina anaisaidia kijeshi Serikali ya Abiy kwasababu anajua raia waeritra na WaTigray wanapenda a ni siasa zake tu za udikteta. ATTACH=full]2000680[/ATTACH]
IMG_20211106_123101.jpg
 
Back
Top Bottom