Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sidhani kama utapata suluhu kwa kuwatupia wengine shutuma kwa matokeo ya matendo yako.Kaa chini ujiulize kwanza,weye umechangia au ni sababu kiasi gani kwa kinachoendelea au kilichotokea.Tuache visingizio.Mchawi unaye kiunoni mwako.SPONSOR NI USA NA UK .
Ethiopia ilikuwa inakua kwa speed ya hatar , so ili kustop , suluhisho ni vurugu ka hizo.
Hawana saport yeyote hawa WaTigray. Ila walizaliwa kuwa wapambanaji toka enzi na enzi kuna Menelik ushamsikia alikuwa balaa. Wanafaham sana guerilla warfareAliyemloga mwafrika ni mwafrika mwenzake .....
[emoji654]WATIGRAY WANASAPOTI KUBWA SANA NYUMA YAO.....
[emoji654]FALL OF ETHIOPIA AND RISE OF TIGRAY SOCIETY ....mda utaongea
Ukiangalia kwa yanayotokea huko Pakistan, Afghanistan, Somalia etc ambako ndio nyumbani kwa Uislam utagundua hata hiyo maana ya mtaani ina walakini.Ana maana iwapo waasi watashinda basi wawe waungwana,wasimfanyie dhalili abiy.Ndo maana ya kufanya Uislam kwa lugha ya mtaani.
Sasa wewe ndugu yetu unahamanika na kuwaambia watu akili kisoda ilhali ni ugeni wako tu wa mji.
Kama ni kweli wanakaribia Addis Ababa na hawa Watigray wapate support nzuri ya Waoromo, Abby itabidi awe na ndege iliyo tayari kwa ajili ya kukimbia nchi.Hatatoka ila Ethiopia itamwaga Wakimbizi kwa Majirani zake wote...
Egypt kazini.... wanalipa gharama za lile bwawa
Hebu fafanua mkuu! Ndio nini huo?Ila hao wajuba hata wakimshinda itabidi wamfanyie Uislam. Siyo wamuue na kumsokomeza machuma kunako kama alivyofanzwa Kolonel Gadafi!
Wako vizuri japo wana utawala wa kibabe na wenyewe.Unaizungumzia je Rwanda mkuu?
Exactly Hili linawezekana. Una akili wewe Jamaa [emoji122][emoji122]Egypt kazini.... wanalipa gharama za lile bwawa
Kwa nn usingetolea mfano Mtwara?
Astakafilular, Mkuu taratibu mm pia nilihisi hivyo kutokana na jina lakeKwa akili zako kisoda ukajua Abiy Ahmed ni muislam?..Tundu yako weeh
Ethiopia ilibugi tu kuanza bifu na misri, kuhusu maji,, sasa watamtoa na hiyo nchi inaweza kumeguka vipande vipandeSPONSOR NI USA NA UK .
Ethiopia ilikuwa inakua kwa speed ya hatar , so ili kustop , suluhisho ni vurugu ka hizo.
Ethiopia na bwawa lake inaenda kuwa Historia Kama ilivyokuwa Historia ya DRC. Mnamo miaka ya 1970s nchi ya DRC ilianza mkakati wa ujenzi wa Mabwawa ya Umeme Maarufu Kama INGA DAMS Kwenye maporomoko ya Mto Congo (INGA FALLS). Edapo Mradi huo ungelikamilika kwa 100% Basi zingelizalishwa Jumla ya MEGAWATT 40,000. Hizi Zinatosha kutumika Barani Afrika Kote na shida ya Umeme ikaisha kabisa. Lakini ilianza misukosuko na Bwana likaishia njiani kuzalisha MEGAWATT 460 TU. Afrika bado tuna safari ndefu sana.Ethiopia ilibugi tu kuanza bifu na misri, kuhusu maji,, sasa watamtoa na hiyo nchi inaweza kumeguka vipande vipande
Mmmghh hawa ambao kila siku miaka nenda miaka rudi wanakamatwa wakikimbia nchi yao?SPONSOR NI USA NA UK .
Ethiopia ilikuwa inakua kwa speed ya hatar , so ili kustop , suluhisho ni vurugu ka hizo.
Hakuna kitu ni porojo tu, wahuni wachache wa diaspora wameitisha press wakatangaza kuungana wakiwa Washington kisha wakapewa buku 7 kama za lumumba (joke). Kwa ukabila ulivyomkali Ethiopia hakuna namna vikundi hasimu vikashirikiana labda Oromo na somali kwa kupitia mgongo wa Dini.Makundi 9 yanayopiga vita serikali ya Ethiopia, yametangaza kuunda muungano hii leo ili kulazimisha mabadiliko ya kisiasa nchini humo.
Hatua hiyo inaongeza shinkizo dhidi ya Waziri mkuu Abiy Ahmed, wakati makundi ya wapiganaji yakiendelea kukaribia mji mkuu wa Addis Ababa.
Makundi kadhaa yamejihami kwa silaha japo haijabainika iwapo makundi yote yanayopinga serikali yana silaha.
Makundi ya wapiganaji wa Oromo na lile linalodai kupigania demokrasia la Agaw, yameambia shirika la habari la Reuters kwamba muungano huo unaojumulisha wapiganaji wa Tigray, ni halali.
Wapiganaji wa Tigray wamekuwa wakipigana na serikali kwa mwaka mmoja sasa katika vita ambavyo vimeua maelfu ya watu na kulazimisha zaidi ya milioni mbili kutotoka makwao.
Mataifa ya Afrika na ya magharibi yamekuwa yakitaka mapigano kusitishwa mara moja nchini Ethiopia, baada ya wapiganaji wa Tigray kusema kwamba wanaelekea kudhibithi mji mkuu wa Addis Ababa wiki hii.
Wapiganaji wametangaza kudhibithi mji wa Kemise, kilomita 325 kutoka Addis, lakini serikali imefutilia mbali madai hayo na kusema kwamba wapiganaji wanatoa habari za uongo kuhusu walipofikia.
VOA Swahili
inamaana hao us na uk ndio walimwambia walimwambia Abiy akataze jimbo la tigrey kufanya uchaguzi wao? muda mwingine tusisingizie wazungu kwa ujinga wetu wenyewe, huyo waziri mkuu wa ethiopia alitumia majeshi ya eritrea kupiga raia wa tigray na kujisifu kuwa amemaliza vita sasa acha na yeye yamkute, tokea mwanzo sikukubaliana huyo jamaa kupewa nobel peace prize ilikua mapema sana, sasa rangi yake ya ukweli imeonekana, alimuua yule mwanamuziki mwenye asili ya olomo kisa alikua hakubaliani na sera zakeSPONSOR NI USA NA UK .
Ethiopia ilikuwa inakua kwa speed ya hatar , so ili kustop , suluhisho ni vurugu ka hizo.