sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Toa.hoja kwa madai yakoTimu zinazojielewa zijiondoe
Kwanin zijiondoe ?Timu zinazojielewa zijiondoe
Weka na makundi yalivyokua msimu uliopita mkuu.Kundi B la Simba,
-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara
Kundi A
Kundi B
- Vital’o
- Azam FC
- Chipukizi United
- Mlandege FC
Kundi C
- JKU SC
- Simba SC
- Singida FG
- APR FC
- KVZ FC
- Yanga SC
- Jamus FC
- Jamhuri SC
Million 100 ni kubwa kwetu mimi na wewe.Ila kipindi hiki pesa ipo
Zawadi ya bingwa ni million 100
Makolo lalamika tu
Bonanza hiliKundi B la Simba,
-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara
Kundi A
Kundi B
- Vital’o
- Azam FC
- Chipukizi United
- Mlandege FC
Kundi C
- JKU SC
- Simba SC
- Singida FG
- APR FC
- KVZ FC
- Yanga SC
- Jamus FC
- Jamhuri SC
Bingwa wa NBC anabeba million 500 mwaka mzimaMillion 100 ni kubwa kwetu mimi na wewe.
Kwa Simba na Yanga ni ndogo tu.