Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

Ayo mashindano yanaibua vijana wa kizanzibar wenye vipaji vikubwa vya mpria na kuja kulisakata kabumbu ligi ya bara NBC ni vizuri ya kaendelea kufanyika kila mwaka
 
Mikia acheni uoga,sasa timu inayojinasibu inatakiwa kombe la dunia la vilabu linaogopaje timu kama APR na Singida big Stars?
 
Inapendeza,na pesa inatosha sana kulinganisha na kipindi cha nyuma...
 
Bingwa wa NBC anabeba million 500 mwaka mzima
Milion 100 kwa mechi 6 unaichukulia ndogo mkuu
Na nani alikuambia timu zinacheza For prize money?
Hayo mashindano hayana yanachoingiza, Je tukipiga hesabu gharama za kuweka team huko zenji zinafika Tsh ngapi?
 
Timu zinazojielewa zijiondoe
Mkuu kwa timu za Tanzania huwezi kujiondoa mapinduzi hata mshindi angekuwa anapata mil 10, hili kombe lipo kisiasa ukijiondoa unafanya uchokozi kwa serikali,wizara ya michezo na TFF utafanyiwa kila fitna hadi vibali vya wachezaji wa kigeni vitakuwa longolongo mrefu.
Kujitoa hawawezi ndo maana nadhani msimu uliopita Yanga na Simba wanapeleka wachezaji ambao hawana namba ili watolewe mapema waendelee na mambo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ipeleke wale vijana wa U20 na reserve wachache Kama farid , gift Fred , kibwana .

Wachezaji muhimu wapumzike
 
Bingwa wa NBC anabeba million 500 mwaka mzima
Milion 100 kwa mechi 6 unaichukulia ndogo mkuu
Pesa ndogo kwa Yanga na Simba, hiyo ni pesa ya kiingilio Kwa mechi moja tu. Huko kuna kuumiza na kuchosha wachezaji. Tuendelee tu kusapoti vya kwetu.
 
Kundi B la Simba,

-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara

Kundi A
  • Vital’o
  • Azam FC
  • Chipukizi United
  • Mlandege FC
Kundi B
  • JKU SC
  • Simba SC
  • Singida FG
  • APR FC
Kundi C
  • KVZ FC
  • Yanga SC
  • Jamus FC
  • Jamhuri SC
Nyinyi si mnajinasibu ni timu kubwa? Sasa malalamimo ya nini tena!!
 
Team itatoka mapema hata kabla hamjapata nafasi ya kuwaona.
Bado kuna Azam Confederation,kwa wenzetu makombe kama haya hatua za mwanzo wanacheza vijana 70% na 30% watu wazima.Wakishafika nusu then percent ya vijana inashuka polepole then nusu au fainali inakuwa full mkoko.
 
Kundi B la Simba,

-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara

Kundi A
  • Vital’o
  • Azam FC
  • Chipukizi United
  • Mlandege FC
Kundi B
  • JKU SC
  • Simba SC
  • Singida FG
  • APR FC
Kundi C
  • KVZ FC
  • Yanga SC
  • Jamus FC
  • Jamhuri SC
Upangaji wa makundi hauna uwiano sawa wa ubora wa timu ili Simba ikifanya mzaha isivuke maana Yanga hawana timu ya kushindana na Simba bila wachezaji wao walioko timu ya taifa. Pia sijaelewa kwa kuweka makundi matatu, hatua inayofuata wanachezaje.

Simba itafute jinsi ya kutoshiriki mashindao hayo siku za mbele au kusititiza uboreshwaji wa timu zinazoshiriki na jinsi mashindano yanavyoendeshwa ili kuleta usawa na ubora kwa level ya sasa ya Simba. Kipindi hiki huko Dubai na Uarabuni kuna mabonanza mengi ambayo yanaweza kuisaidia timu kifedha na katika kuboresha utimamu wa wachezaji. Ni bora kwenda huko.
 
Kundi B la Simba,

-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara

Kundi A
  • Vital’o
  • Azam FC
  • Chipukizi United
  • Mlandege FC
Kundi B
  • JKU SC
  • Simba SC
  • Singida FG
  • APR FC
Kundi C
  • KVZ FC
  • Yanga SC
  • Jamus FC
  • Jamhuri SC
CAF champions league Yanga kapangwa kundi la mabingwa wa nchi zao tu na wala hajalalamika.
 
Back
Top Bottom