Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitunza hii risitiBaada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua
TutaonaNaitunza hii risiti
Hata rede inahitaji mashabiki.View attachment 2774222Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
Kwahiyo unaamini kabisa kwenye Hilo kundi C Esperence Tunis atashika mkia?View attachment 2774222Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
KUNA UWEZEKANO MKUBWA IKAWA HIVO .
ILA KUNDI “C” MAMBO YANAWEZA KUWA TOFAUTI.
Esperance de tunis awe wa mwisho kwenye kundi sidhani kama ni rahisi kihivo.
mkuu jiandae kuoga matusi kutoka kwa akina KABWILIView attachment 2774222Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF
Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua ama kwa kujua
KUNA UWEZEKANO MKUBWA IKAWA HIVO .
ILA KUNDI “C” MAMBO YANAWEZA KUWA TOFAUTI.
awe wa mwisho kwenye kundi sidhani kama ni rahisi kihivo.