Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

Naitunza hii risiti
 
Kwamba huu ni upangaji wa marks kidarasani darasani, kwamba 3 na 4 ni underdog huko madarasani.
 
Ni Kama ina ukweli ndani yake
Ila Kuna watu watakuja na mawe mkuu
 
KUNA UWEZEKANO MKUBWA IKAWA HIVO .


ILA KUNDI “C” MAMBO YANAWEZA KUWA TOFAUTI.


Esperance de tunis awe wa mwisho kwenye kundi sidhani kama ni rahisi kihivo.
 
Hata rede inahitaji mashabiki.
Kwa Taarifa yako mwaka Jana Ahly walishika nafasi ya pili Mechi ya mwisho Kwa kuifunga Hilal wakati matarajio yao yakiwa yameyeyuka.
 
Kwahiyo unaamini kabisa kwenye Hilo kundi C Esperence Tunis atashika mkia?
 
KUNA UWEZEKANO MKUBWA IKAWA HIVO .


ILA KUNDI “C” MAMBO YANAWEZA KUWA TOFAUTI.


Esperance de tunis awe wa mwisho kwenye kundi sidhani kama ni rahisi kihivo.

Caf champions league bila kumuona Esperence nusu fainali... ujue hayo ni mashindano feki.

Esperence ni kigogo kweli kweli. Mamelodi mchumba sana kwa Esperence
 
mkuu jiandae kuoga matusi kutoka kwa akina KABWILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…