Makundi ya Damu (blood groups) na Mahusiano

Mungu akuongoze
 
O+ ni sahihi[emoji1316][emoji1316][emoji1316]

Yan kitu sipendi ni UWONGO!
2 ikiwa tumepanga kitu make sure unakikamilisha
Ila pia group hili ni wapotezeaji wazuri sana wa vitu
3 uvumilivu
4 natarajia sana kama nifanyavyo mimi! Ikiwa tofauti basi tutagombana
Ukiniomba kitu kama sitak kukupa nakuambia kabisa sikupi
 
Asante kwa mrejesho mkuu
 
Group O
Kwa kuongezea tuko so direct kwenye mambo. Yaani hatuna kona kona , usanii.
Na pia ni watu wa vitendo, action zaidi.
Aisee, yote kweli kabisa.
Yaani mimi ukinikosea just come to me niambie ukweli na uniombe msamaha huwa nasamehe na kujishusha sana. Ila ukinidanganya na ukweli ninaujua, aisee ni ngumu sana kuirejesha heshima yako uliyojijengea kwangu! I hate lies na utapeli!
Lakini pia kama kuna jambo letu tulilifanya sipendi sana ulisambaze kwa watu, nathamini usiri flani hivi.
 
Hahahaaa, na hii ya kusimamia haki pia na msimo imara.
Hii tabia ilishanifukuzisha kazi pia [emoji4][emoji4][emoji4] (japo mpaka leo sijutii msimamo wangu), kidogo siku hizi na uzee wangu najifunza kuwa flexible pindi ninapoona jambo halina madhara sana!
 
Haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…