KERO Makundi ya jogging na kero zao

KERO Makundi ya jogging na kero zao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero.

Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu. Yaani kila Jumamosi mnafunga barabara. Huu upuuzi wngine tuna misele yetu mnatupotezea.

20250308_083603.jpg

Ova
 
Wapuuzi kbs hao na mbio zao hizo..mazoezi yenu yasiwe kikwazo Kwa watu wengine, mbona sisi tunafanya mazoezi bila kuwa kero Kwa watumiaji wa barabara.
 
Wapuuzi kbs hao na mbio zao hizo..mazoezi yenu yasiwe kikwazo Kwa watu wengine, mbona sisi tunafanya mazoezi bila kuwa kero Kwa watumiaji wa barabara.
Zamani ilikuwa kila jumamosi mwisho wa mwezi ila sahv kila jumamosi hawa wanafunga barabara

Ova
 
Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero...
Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu,mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu
Yaani kila jumamosi mnafunga barabara ...huu upuuz wngine tuna misele yetu mnatupotezea

Ova
kama kwel watu wanafunga barabara ili wafanye mazoezi barabarani na viwanja vipo basi tuna safar ndefu sanaa.
 
Visingizio vya kukimbia majukumu majumbani kwao!
Hamna lolote. Ngono na ulevi tu pale!
 
kama kwel watu wanafunga barabara ili wafanye mazoezi barabarani na viwanja vipo basi tuna safar ndefu sanaa.
Wanauza maeneo yote ya wazi
Usumbufu wanawaletea watu wengine

Ova
 
Back
Top Bottom