mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Makundi mengine haya yatakayompigia kura Magufuli:
√ wafanya biashara ambao watanufaika na uboreshwaji wa miundo mbinu ya usafiri (anga, barabara, maji na reli);
√ Wazazi ambao ada za shule lilikuwa tatizo;
√ Akina mama wajawazito (na familia zao) ambao huduma za afya zilikuwa mbali;
√ Na kadhalika