Makundi ya Kiraia Kenya yaitaka Uganda kuachia Huru Wanaharakati Bon Njagi na Nicholas Oyoo waliotekwa

Makundi ya Kiraia Kenya yaitaka Uganda kuachia Huru Wanaharakati Bon Njagi na Nicholas Oyoo waliotekwa

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Makundi ya kiraia nchini Kenya pamoja na ndugu wa wanaharakati wawili waliopotea nchini Uganda wametaka wale wanaowashikilia kuwaachia huru.

Bon Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa nyara na vikosi vya usalama vya Uganda wiki iliyopita baada ya kuhudhuria mkutano wa kampeni wa kiongozi wa upinzani Bobi Wine.

Kwenye mkutano na waandishi habari, wawakilishi wa makundi ya kutetea haki za binadamu wamesema vitendo vya kutekwa nyara kwa wakosoaji wa serikali na wapinzani imekuwa tishio kwenye kanda ya Afrika Mashariki.

 
Back
Top Bottom