Uchaguzi 2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

Post za kuandikiwa
 
Achana na huyo muongo anayenifananisha na Makonda mimi kuna watu wameshanifananisha humu hadi kuniita Magufuli!! huwa nacheka tu
Labda ni kwa mfanano wa lugha au mawazo ndiyo maana kasema vile.
 
Hakuna Rais aliyefanikiwa kumweka anayemtaka madarakani pindi yeye anapoachia kijiti.. Hakuweza Nyerere na hataweza Magufuli..

Watch that space..
 
Huo ndo ukweli Sasa,walikua wanajijenga chini chini huku wakijidai kuomba msamaha kwa wale viranja wao,JPM alikua anawasamehe kibinadamu kumbe wao Wana lengo lao tu.

NASEMA HIVI,KATIBU MKUU ALLY BUSHIRI HII NDOKAZI YAKE. NGUMU NA YAUMAKINI AMBAYO ANATAKIWA KUIFANYA ZAID TANGU ATEULIWE.Haya mafisadi ndiyo yaliyotufikishapabaya kiasi hata CCM kuchukiwa kila Kona,Sasa chama kila mtu anakitaka baada ya Rais Magufuli kukirudisha kwa wananchi kumbe wenginne bado wanaendelea na mipango yao ya chini kwa chini.
 
Mimi sio Makonda tafadhali

Basi ni mke au mchepuko wake. Bora mafisadi kuliko wauaji na wamiliki wa kundi la watu wasiojulikana. Hao mafisadi waliruhusu demokrasia, kuliko nyie wazalendo uchwara mnaolazimisha nchi irudi kwenye siasa za kizee za chama kimoja.
 
vizuri sana kwa kugundua ccm itaendelea kutoa maraisi milele!
 
Wewe ulikuwa wapi walipokukuwa wanaandaa ushindi wa kishindo??? UKIITWA BOYA UTAKATAA??
 
Makonda hebu tupumzishe bana toka ukatwe kigamboni Jana umekuwa MTU wa malalamiko tuuu
 
Wewe Makonda kufikia Ijumaa urudi kwenu Koromije. Dar es Salaam hatutaki wazururaji, watu wasio na kazi.

Pia ukumbuke kuoga. Tangu matokeo yatoke hujaoga. Dsm hatutaki watu wachafu.

NB: malipo ni hapa hapa duniani.
 
Wewe Makonda kufikia Ijumaa urudi kwenu Koromije. Dar es Salaam hatutaki wazururaji, watu wasio na kazi.

Pia ukumbuke kuoga. Tangu matokeo yatoke hujaoga. Dsm hatutaki watu wachafu.

NB: malipo ni hapa hapa duniani.
wewe mimi sio Makonda please
 
Wewe ulikuwa wapi walipokukuwa wanaandaa ushindi wa kishindo??? UKIITWA BOYA UTAKATAA??
Mchakato bado tunatonyana kuwa huko mbele kwenye michakato hilo litizanwe ,Kundi la wahujumu CCM 2015 ,Mafisadi na wafuasi wao lina bounce back kujipanga tayari kwa 2025!!! CCM beware!!! Meseji ndio hiyo!!
 
Hayatuhusu kabisa malizaneni wenyewe huko
 
Kama wamesshinda kwa haki sasa shida iko wapi bwana bashite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…