Uchaguzi 2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

Mafisadi wa kivuko cha bagamoyo na wenyewe wamo?
 
Umegombea, umepigwa za uso

Sasa unakuja na ngojera, za kamati kuu. Kukupitisha wewe na wamuache aloshinda.


Matakokwelikweli
 
Hii nchi haina mafisadi ndio maana mahakama ya mafisadi haina kesi. Hata Magufuli ukulimuuliza atakujibu hivyo.
 
Ungewataja ingependeza
Nikianza kutaja waliohujumu CCM na mifisadi mbona inafahamika? wako wachungaji,maaskofu,viongozi wa CCM ,wa upinzani ,wabunge,Wafanyabiashara na wafuasi wao nk
Kazi ndogo tu unachukua List ya watia nia ndani ya saa moja tu umeshawaona wote kwenye list ya watia nia wawe nafasi ya kwanza ya pili au popote unawaona wazi huyu hapa huyu hapa simple kabisa
 
Kazi ya kuilinda nchi dhidi ya mafisadi sio ya magufuli; Ni kazi ya KATIBA IMARA yenye taasisi imara za kudhibiti mienendo ya muhimili kwa muhimili, muhimili dhidi ya taasisi zingine, taasisi dhidi ya taasisi na taasisi dhidi ya watu.

Ukiwa na nchi ambayo Rais ni Mungu mtu, ama unapokuwa na chama ambacho ni chama-dola, tarajia kuona magenge ya kila namna.

Magenge ndani ya chama, magenge ndani ya taasisi za intelijensia, magenge ndani ya mihimili ya dola na magenge kila mahali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao walihujumu ccm lakini ccm imehunumu nchi pakubwa
 
Mimi sio Makonda tafadhali
Ha ha ha haa...eti mimi si Makonda! Kwanza Makonda si jina tu lililotumika kwenye vyeti feki na asante sana kwa kulikiri hilo au wewe ni msahaulifu kiasi hicho. Je hukumbuki ulivyowahi kuomba upewe mission ya kumshughulikia Mh. Lissu kama serikali ya Magufuli imeshindwa? Naam wewe si Makonda lakini safari hii utajibeba, watu wamechoka kukupakata...unajiita mwanamme halafu unakubali kupakatwa! Hata hivyo nafasi bado zipo...nafasi za viti maalum!
 
Ila Makonda ana shape nzuri hasa akivaa skin jeans. Huwa ananikosha
 
Fatilia michango yake kulingana na topics kwa mwaka mzima,Kama sio yeye basi ni mkewe au mtu mwingine wa karibu yake sana. Over
Kwa hizo akili zake fupi, labda ni pacha wake (carbon copy) na alivyo na kiherehere huyo YEHODAYA, genealogy itawaumbua tu.
 
ROHO YA UBAGUZI NI MBAYA SANA. CCM MTAANZA KUSINGIZIANA MENGI.
 
Bashiru pamoja na Polepole wanadili na Konde boy tyuu hawana jipya
Wamewin kumuangusha Konde boy basi roho zao zimesuuzika.... Nonesense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…