Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maccm kwa kujifariji!! Eti kila mtu anakitaka, wewe na mwenzio nani labda?Sasa chama kila mtu anakitaka baada ya Rais Magufuli kukirudisha kwa wananchi.
Nikianza kutaja waliohujumu CCM na mifisadi mbona inafahamika? wako wachungaji,maaskofu,viongozi wa CCM ,wa upinzani ,wabunge,Wafanyabiashara na wafuasi wao nkUngewataja ingependeza
Wao walihujumu ccm lakini ccm imehunumu nchi pakubwaNikianza kutaja waliohujumu CCM na mifisadi mbona inafahamika? wako wachungaji,maaskofu,viongozi wa CCM ,wa upinzani ,wabunge,Wafanyabiashara na wafuasi wao nk
Kazi ndogo tu unachukua List ya watia nia ndani ya saa moja tu umeshawaona wote kwenye list ya watia nia wawe nafasi ya kwanza ya pili au popote unawaona wazi huyu hapa huyu hapa simple kabisa
Ha ha ha haa...eti mimi si Makonda! Kwanza Makonda si jina tu lililotumika kwenye vyeti feki na asante sana kwa kulikiri hilo au wewe ni msahaulifu kiasi hicho. Je hukumbuki ulivyowahi kuomba upewe mission ya kumshughulikia Mh. Lissu kama serikali ya Magufuli imeshindwa? Naam wewe si Makonda lakini safari hii utajibeba, watu wamechoka kukupakata...unajiita mwanamme halafu unakubali kupakatwa! Hata hivyo nafasi bado zipo...nafasi za viti maalum!Mimi sio Makonda tafadhali
Fatilia michango yake kulingana na topics kwa mwaka mzima,Kama sio yeye basi ni mkewe au mtu mwingine wa karibu yake sana. OverUmemgunduaje?
Ila Makonda ana shape nzuri hasa akivaa skin jeans. Huwa ananikoshaHa ha ha haa...eti mimi si Makonda! Kwanza Makonda si jina tu lililotumika kwenye vyeti feki na asante sana kwa kulikiri hilo au wewe ni msahaulifu kiasi hicho. Je hukumbuki ulivyowahi kuomba upewe mission ya kumshughulikia Mh. Lissu kama serikali ya Magufuli imeshindwa? Naam wewe si Makonda lakini safari hii utajibeba, watu wamechoka kukupakata...unajiita mwanamme halafu unakubali kupakatwa! Hata hivyo nafasi bado zipo...nafasi za viti maalum!
Basi wewe ni small house ya magufuliMimi siyo Makonda wewe
Wewe ni Nani maana una wivu na akina Nape😂Mimi sio Makonda tafadhali
Hata we hapo ulipo ni mjengoniMakonda anaingia mjengoni
hahahhaMakonda hebu tupumzishe bana toka ukatwe kigamboni Jana umekuwa MTU wa malalamiko tuuu
Bashiru pamoja na Polepole wanadili na Konde boy tyuu hawana jipyaHuo ndo ukweli Sasa,walikua wanajijenga chini chini huku wakijidai kuomba msamaha kwa wale viranja wao,JPM alikua anawasamehe kibinadamu kumbe wao Wana lengo lao tu.
NASEMA HIVI,KATIBU MKUU ALLY BUSHIRI HII NDOKAZI YAKE. NGUMU NA YAUMAKINI AMBAYO ANATAKIWA KUIFANYA ZAID TANGU ATEULIWE.Haya mafisadi ndiyo yaliyotufikishapabaya kiasi hata CCM kuchukiwa kila Kona,Sasa chama kila mtu anakitaka baada ya Rais Magufuli kukirudisha kwa wananchi kumbe wenginne bado wanaendelea na mipango yao ya chini kwa chini.