Makundi ya wananchi Niger yaapa kupigania ulinzi wa nchi

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Makundi kwa Makundi ya wananchi wenyeji katika mji mkuu wa Niger, Niamey wameapa kuajiri makumi ya maelfu ya watu wa kujitolea kupigana pamoja na jeshi la Niger katika ulinzi wa nchi yao, dhidi ya hali ya uingiliaji wa kijeshi unaoungwa mkono na magharibi kupitia ECOWAS.

wakazi walizungumza kwa uwazi kuunga mkono uajiri huo ambao tayari unaendelea huku maelfu wakijiandikisha. Akina mama na baba wanaapa kufanya lolote wawezalo kuunga mkono jeshi la nchi hiyo katika kile wanachokiita "vita vya kweli vya uhuru wetu."

Mwanamke mmoja alisema, Nitawaombea askari wetu. nitawapikia, nitawaacha watoto wangu na ikiwa itabidi nipigane, sijali. Nchi yetu lazima iwe huru.”

Mkazi mwingine wa Niamey, Omar Amadou, ambaye anaunga mkono kikamilifu kikosi cha kujitolea alisema,
"Hatupigi kelele kuhusu ECOWAS.

ECOWAS imeundwa kwa ajili ya marais walio madarakani na hatumhitaji.” Zaidi ya hayo anasema, "Ikiwa ECOWAS itaingilia kati au la, Niger iko tayari kwa chaguzi zote. Tuko tayari. Chochote ECOWAS itaamua, tuko tayari.

1692335487003.jpg
 
Mwafrika ni kiumbe cha ajabu sana!!Kwani hiyo Niger ndio nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi, hadi hao wananchi wawaone kuwa sasa ndio wakombozi wao? Wakati ni nchi zilizo kwenye umaskini wa kutupwa. Hapo ni nyani mpya msitu ule ule! Hao makamanda wapige pesa wajiondokee hakuna kina THOMAS SANKARA, hapo! Na hivi kweli ECOWAS kwa kushirikiana na ufaransa waamue kuwaondoa,mbona ni mchana tu, kazi inaisha, kuna majeshi gani ya maana huko (Mali, Niger na Burkina Faso) ambapo makundi ya waasi kila leo yanawasumbua?umtoe mfaransa umuingize mrusi eti unasema unataka uhuru wako?!!
 
Mwafrika ni kiumbe cha ajabu sana!!Kwani hiyo Niger ndio nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi, hadi hao wananchi wawaone kuwa sasa ndio wakombozi wao? Wakati ni nchi zilizo kwenye umaskini wa kutupwa. Hapo ni nyani mpya msitu ule ule! Hao makamanda wapige pesa wajiondokee hakuna kina THOMAS SANKARA, hapo! Na hivi kweli ECOWAS kwa kushirikiana na ufaransa waamue kuwaondoa,mbona ni mchana tu, kazi inaisha, kuna majeshi gani ya maana huko (Mali, Niger na Burkina Faso) ambapo makundi ya waasi kila leo yanawasumbua?umtoe mfaransa umuingize mrusi eti unasema unataka uhuru wako?!
Hao ECOWAS na Ufaransa wawaondoe wanamapinduzi kwa maslahi ya nani? Wenye nchi wa Niger wenyewe hawamtaki huyo rais aliyepinduliwa wala wafaransa. Viongozi wengi wa Nchi za Afrika hawapo madarakani kwaajili ya kusaidia wananchi wao ila kuwafukarisha kwa maslahi ya wazungu.

Hapa kwenu mmeuza bandari, je nikwamaslah ya wananchi? Tujiandae yajayo yanafurahisha
 
Mwafrika ni kiumbe cha ajabu sana!!Kwani hiyo Niger ndio nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi,hadi hao wananchi wawaone kuwa sasa ndio wakombozi wao?;wakati ni nchi zilizo kwenye umaskini wa kutupwa!!Hapo ni nyani mpya msitu ule ule!!hao makamanda wapige pesa wajiondokee hakuna kina THOMAS SANKARA,hapo!!na hivi kweli ECOWAS kwa kushirikiana na ufaransa waamue kuwaondoa,mbona ni mchana tu,kazi inaisha,kuna majeshi gani ya maana huko(mali,niger na bukina faso)ambapo makundi ya waasi kila leo yanawasumbua?umtoe mfaransa umuingize mrusi eti unasema unataka uhuru wako?!!
Bro huwajui waniger. Katika ukanda huo ndio wenye jeshi lenye wapiganaji wazur zaid. So sio rahic kiivyo
 
Mwafrika ni kiumbe cha ajabu sana!!Kwani hiyo Niger ndio nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi, hadi hao wananchi wawaone kuwa sasa ndio wakombozi wao? Wakati ni nchi zilizo kwenye umaskini wa kutupwa. Hapo ni nyani mpya msitu ule ule! Hao makamanda wapige pesa wajiondokee hakuna kina THOMAS SANKARA, hapo! Na hivi kweli ECOWAS kwa kushirikiana na ufaransa waamue kuwaondoa,mbona ni mchana tu, kazi inaisha, kuna majeshi gani ya maana huko (Mali, Niger na Burkina Faso) ambapo makundi ya waasi kila leo yanawasumbua?umtoe mfaransa umuingize mrusi eti unasema unataka uhuru wako?!!
Wewe ndo waajabu yaani watu waone serikali iliyopo madarakani inawahujumu hafu jeshi lioneshe Hali ya mabadiliko wasilisupport. Mbaya zaidi unamuhusisha vipi mfaransa kama kweli mapinduzi haya leti manufaa Kwa wananchi anataka Nini? Ni jirani au?
 
Makundi kwa Makundi ya wananchi wenyeji katika mji mkuu wa Niger, Niamey wameapa kuajiri makumi ya maelfu ya watu wa kujitolea kupigana pamoja na jeshi la Niger katika ulinzi wa nchi yao, dhidi ya hali ya uingiliaji wa kijeshi unaoungwa mkono na magharibi kupitia ECOWAS.

wakazi walizungumza kwa uwazi kuunga mkono uajiri huo ambao tayari unaendelea huku maelfu wakijiandikisha. Akina mama na baba wanaapa kufanya lolote wawezalo kuunga mkono jeshi la nchi hiyo katika kile wanachokiita "vita vya kweli vya uhuru wetu."

Mwanamke mmoja alisema, Nitawaombea askari wetu. nitawapikia, nitawaacha watoto wangu na ikiwa itabidi nipigane, sijali. Nchi yetu lazima iwe huru.”

Mkazi mwingine wa Niamey, Omar Amadou, ambaye anaunga mkono kikamilifu kikosi cha kujitolea alisema,
"Hatupigi kelele kuhusu ECOWAS.

ECOWAS imeundwa kwa ajili ya marais walio madarakani na hatumhitaji.” Zaidi ya hayo anasema, "Ikiwa ECOWAS itaingilia kati au la, Niger iko tayari kwa chaguzi zote. Tuko tayari. Chochote ECOWAS itaamua, tuko tayari.

View attachment 2720507
Hata ardhi ya nyerere watu wakipata mkombozi wa kuwasapoti wengi watajitolea kwa ajili ya Nchi yao.
 
Mwafrika ni kiumbe cha ajabu sana!!Kwani hiyo Niger ndio nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi, hadi hao wananchi wawaone kuwa sasa ndio wakombozi wao? Wakati ni nchi zilizo kwenye umaskini wa kutupwa. Hapo ni nyani mpya msitu ule ule! Hao makamanda wapige pesa wajiondokee hakuna kina THOMAS SANKARA, hapo! Na hivi kweli ECOWAS kwa kushirikiana na ufaransa waamue kuwaondoa,mbona ni mchana tu, kazi inaisha, kuna majeshi gani ya maana huko (Mali, Niger na Burkina Faso) ambapo makundi ya waasi kila leo yanawasumbua?umtoe mfaransa umuingize mrusi eti unasema unataka uhuru wako?!!
Tofauti na Niger mapinduzi mengine hufanywa ma walafi wa madaraka tu. Hao wa Niger ni kwa masalahi ya Wananchi.

Hayo ndio maajabu.
 
Mwafrika ni kiumbe cha ajabu sana!!Kwani hiyo Niger ndio nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi, hadi hao wananchi wawaone kuwa sasa ndio wakombozi wao? Wakati ni nchi zilizo kwenye umaskini wa kutupwa. Hapo ni nyani mpya msitu ule ule! Hao makamanda wapige pesa wajiondokee hakuna kina THOMAS SANKARA, hapo! Na hivi kweli ECOWAS kwa kushirikiana na ufaransa waamue kuwaondoa,mbona ni mchana tu, kazi inaisha, kuna majeshi gani ya maana huko (Mali, Niger na Burkina Faso) ambapo makundi ya waasi kila leo yanawasumbua?umtoe mfaransa umuingize mrusi eti unasema unataka uhuru wako?!!
Mfaransa ni hatari sana, soma historia ya ushiriki wao Kwenye migogoro ya makoloni yao
 
Back
Top Bottom