Mwafrika ni kiumbe cha ajabu sana!!Kwani hiyo Niger ndio nchi ya kwanza kuongozwa kijeshi, hadi hao wananchi wawaone kuwa sasa ndio wakombozi wao? Wakati ni nchi zilizo kwenye umaskini wa kutupwa. Hapo ni nyani mpya msitu ule ule! Hao makamanda wapige pesa wajiondokee hakuna kina THOMAS SANKARA, hapo! Na hivi kweli ECOWAS kwa kushirikiana na ufaransa waamue kuwaondoa,mbona ni mchana tu, kazi inaisha, kuna majeshi gani ya maana huko (Mali, Niger na Burkina Faso) ambapo makundi ya waasi kila leo yanawasumbua?umtoe mfaransa umuingize mrusi eti unasema unataka uhuru wako?!!