Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

Dunia kigeu geu
 
nafanya kwa ajli ya wana JF mkuu,naokoa watu wengi sana

PM ninazokutana nazo zinanifanya nisiache saidia watu maana

naletewa shuhuda nzito nzito jambo linalonifanya niseme YES i need more....
Hongera sana kwa moyo huo. Utafikishwa mbali
 
We jamaa unajua aisee
 
Mimi nasikilizia mchongo hapa, ukitiki tu kuna biashara moja hiyo lazima initoe. Inshaallah
 
mkuu umemaliza mwenye kusikia na asikie kama umewahi kufanya biashara au unafanya huu uzi ni mtaji kabla ya kuvunja kibubu meza madini kwanza...[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Asante, madini murua
 
Safi sana kk,una madini mengi mnoo nashukur Kwa elimu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…