Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

Kwangu hii ndo post Bora tokea nijiunge humu
Ila mtoa post Ni tapeli la kutupwa hafati anayoandka kujipatia kipato halali,anatapeli madem...
Rejea biblia mti wa mchongoma hauwez zaa zabibu..
Hivyo bandiko ili sio kaandika vya ukwel Bali Ni tapeli at work anakuwinda wewe na Mimi ila mm kankosa wewe unaemshobokea kuwa kaandika post Bora toka ujiunge humu sku ukija APA et kakutapelii aiseee ntakutusi matusi ya ajabu sana
 
Kiukweli tunataka tuwe tunapata madini kama haya. Kiukweli kwa mtu aliyewahi kufanya na anayefanya biashara anakubaliana na nondo hizi. Sasa kwa wenye ndoto za kuanza biashara shule hiyo hapo. Mleta uzi Mungu na akuongezee siku.
Uyu mbwa haendi mbinguni Ni Bonge la matapeli na matapeli wanaongea uongo ulio karibu na ukwel asilimia 💯 na kuwadaka maboya Kam nyie
cc.moderator njoen mnipe ban
 
Oyah haututakii mema serikali ije kujifunza kwa tapeli la laki 4 ili itupige aisee u can't be serious
Ngja nkakufungulie kesi la kudhalilisha serikali
Jamaa ilitakiwa aseme kama Alisha maliza Ile ishu ya Yule binti na aombe radhi in public hapa jf, ili madini yake yaendelee kupokelewa hapa,
Matapeli ni watu wenye maneno matamu sana na ushawishi juu, unampa kitu bila kuporwa.
 
Hajaja kujibu Chochote hadi Sasa, basi kuna ukweli ndani yake, jamani utapeli wa hela ya mtu ni mbaya sana
Jamaa namkubali sana kwa kanuni anayoitumia...anajibu vipi shutuma zinazotolewa na watu watatu tuu kati ya wanna jf zaidi ya 6000 waliosoma hii thread na mtu ambae haweki ushahidi ili watu wengine wathibitishe.......ni uhakika ukiwa na tabia ya kujibu kila ambacho binadamu anakutuhumu nacho Basi na utambue maisha yako yoote yatakuwa kwenye kujibu nakuomba misamaha

Tupo nae na kumpongeza kwa bandiko hili kwa sababu linatufundisha na kutuongezea nyama katika harakati tulizozichagua na hatuwezi kuwa upande wa kumshutumu kwa kitu ambacho hatujahakikishiwa na alietendewa wala na alieileta kwetu hiyo shutuma
 
Aliyetapeli ni mwingine sio controller,watu wengi wanamshutumu controller kumbe sio yeye.
 
Inawezekana hujawaelewa walioleta hizo shutuma au Mimi sijawaelewa japo wanamtaja controller......ikiwa si controller kwa Nini wamekuja kutua hizo shutuma humu na si kwenye majukwaa mengine!!???

Kuna la kujifunza na kufuata.....ni vyema shutuma zikiambatana na ushahidi
 
Haya bhana ukweli utajulikana tu
 
Inawezekana hujawaelewa walioleta hizo shutuma au Mimi sijawaelewa japo wanamtaja controller......ikiwa si controller kwa Nini wamekuja kutua hizo shutuma humu na si kwenye majukwaa mengine!!???

Kuna la kujifunza na kufuata.....ni vyema shutuma zikiambatana na ushahidi
Ushahidi ulitolewa bahati mbaya mod walifuta kila kitu.
 
LUCK..Success or failure apparently brought by chance rather than through one's own actions...99% wanaofanikiwa ni kwa sababu ya Bahati...mengine nyongeza..muombe Mungu Sana ..Niliwahi kumsikia Marehemu Mfuruki Clouds TV alisema Bahati Ina mchango mkubwa Sana..no povu🙏
 
Jamaa namkubali sana kwa kanuni anayoitumia...anajibu vipi shutuma zinazotolewa na watu watatu tuu kati ya wanna jf zaidi ya 6000 waliosoma hii thread na mtu ambae haweki ushahidi ili watu wengine wathibitishe.......ni uhakika ukiwa na tabia ya kujibu kila ambacho binadamu anakutuhumu nacho Basi na utambue maisha yako yoote yatakuwa kwenye kujibu nakuomba misamaha

Tupo nae na kumpongeza kwa bandiko hili kwa sababu linatufundisha na kutuongezea nyama katika harakati tulizozichagua na hatuwezi kuwa upande wa kumshutumu kwa kitu ambacho hatujahakikishiwa na alietendewa wala na alieileta kwetu hiyo shutuma
Unataka ushahidi wa Aina gani?? Make ushahidi wote ulishatolewa labda unajitia tu upofu haukuona au wewe Ni mshirika wake mnashirikiana kutapeli watu.
Ukinijibu nakukata na usiponjibu we Ni mboga
 
nimependa hii, "hajui mwenzake faida anaipataje anachojua yeye ile biashaara ina pesa naitaka namimi kuifanya". hapa uko sahihi, ndo mana unaweza kuta mtu anapa loss kila siku na hafilisiki hata kidogo ila wewe ukimuiga hiyo biashara ukipata loss moja unayumba hatari hadi kupelekea kufiliskaa, kumbe methodology ndo kitu cha mhimu,
yaani wote mna biashara sawa lakini methodology ya kupata faida nitofauti

unaweza kuwa na biashara lakini ukatumia niia ya kupata faida kwenye hio biashara ikawa tofauti na njia za kawaida zilizozoelekaaa kwa watu, inakuwa ni unseen technic.
mtaji unagawanyika kwenye makundi mawili moja ni muda na nyingne pesa

sasa kama sasa huna mtaji wa pesa, basi tumia mtaji wa muda kujifunza deep projects tofauti tofauti zinavyooperate nje ndani, ili siku moja ukiwa ni wale watu wa kupata hela kwa gaflaa, uweze kufanya biashara uliokuwa unajifunza naamini utafanikiwa coz njia nzima utakuwa umejifunza so ya kuuliza kwa watu yatakuwa machache sanaa
 
Unataka ushahidi wa Aina gani?? Make ushahidi wote ulishatolewa labda unajitia tu upofu haukuona au wewe Ni mshirika wake mnashirikiana kutapeli watu.
Ukinijibu nakukata na usiponjibu we Ni mboga
Haaaaa halooooo, kasheshe
 
Back
Top Bottom