Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

Yaani mtu akiwa na milions asifanye biashara kisa hajaanzia 170kl.
Sio lazima uanzie chini kama una uhakika wa unachotaka kukifanya,binafsi hapa nilipo nina biashara naweza ianzisha kwa mtaji wa 100M na natia mzigo 100m yote,kwasababu nina uhakika 100% na hiyo biashara, narudia tena kwasababu "nina uhakika 100%" na wala sio 98% wala 99.9% no uhakika ni 100%.Zipo biashara hizo ninazoweza anzia kule TOP.

Kwasababu nazijua,nazielewa in and out,ki ufupi hunidanganyi wala huniambiii kitu kuhusu hizo biashara najua ni DODO lakutingisha mti tu linajiachia linadondoka.

LAKINI

pamoja na kwamba nimefanya biashara nyingi,leo hiii kuna biashara nikiwa na 20m nikitaka kuianzisha lazima itanibidi nianzie from ZERO,mtaji si shida kwangu ila shida ni uzoefu na ujuzi na teknik kwenye hiyo biashara,mimi sio MUNGU useme najua kila biashara HAPANA ila nina uwezo wakufanya kila biashara chini ya JUA bila kupata hasara na hata nikipata hasara haitolingana na yako.

sasa basi unatakiwa uelewe kwamba sijanyima mtu kuanza biashara kwa mtaji mkubwa,kama mtaji unao,unaijua biashara unayoianzisha,unajua mbinu za kuifanya,unajua kila kitu kuhusu unachokianzisha GO AHEAD weka mzigo hata billions of money..

MO si unamuona mihela anayoimwaga simba?! unajua kwanini anamwaga hiyo mipesa?! kwasababu ana uhakika 100% mzigo utarudi mara mbili ya anaouweka...

kwahiyo hapa tunaangalia uzoefu ktk biashara husika,lakini kuna mtu ni beginner ktk biashara anakuja kwenye biashara Fresh from "kuajiriwa" fresh from "home" ila ana MTAJI tena ana mtaji mzito mzito,Huyu mtu simshauri hata mara 1 aanze biashara kama PRO, namshauri aanze from scatch akijifanya mbishi simlazimishi ila always "two things involve" either afaulu au afeli, Akifaulu Asiache mshukuru Mungu,lakini Akifeli "sitoacha kumwambia" POLEEEE.
 
Words..ila acha utapeli.
 
Kundi langu silioni hapa andika upya
 

Perfect
 
Ohooo
 
Jf ni 'kitabu' cha kidigitali unahitaji nini tena? Enjoy.. [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…