Ila mtoa post Ni tapeli la kutupwa hafati anayoandka kujipatia kipato halali,anatapeli madem...Kwangu hii ndo post Bora tokea nijiunge humu
Uyu mbwa haendi mbinguni Ni Bonge la matapeli na matapeli wanaongea uongo ulio karibu na ukwel asilimia ๐ฏ na kuwadaka maboya Kam nyieKiukweli tunataka tuwe tunapata madini kama haya. Kiukweli kwa mtu aliyewahi kufanya na anayefanya biashara anakubaliana na nondo hizi. Sasa kwa wenye ndoto za kuanza biashara shule hiyo hapo. Mleta uzi Mungu na akuongezee siku.
Oyah haututakii mema serikali ije kujifunza kwa tapeli la laki 4 ili itupige aisee u can't be seriousSafi.mada fikirishi sana.Ata serikali inaweza kujifunza kupitia huu uzi.
Jamaa ilitakiwa aseme kama Alisha maliza Ile ishu ya Yule binti na aombe radhi in public hapa jf, ili madini yake yaendelee kupokelewa hapa,Oyah haututakii mema serikali ije kujifunza kwa tapeli la laki 4 ili itupige aisee u can't be serious
Ngja nkakufungulie kesi la kudhalilisha serikali
Jamaa namkubali sana kwa kanuni anayoitumia...anajibu vipi shutuma zinazotolewa na watu watatu tuu kati ya wanna jf zaidi ya 6000 waliosoma hii thread na mtu ambae haweki ushahidi ili watu wengine wathibitishe.......ni uhakika ukiwa na tabia ya kujibu kila ambacho binadamu anakutuhumu nacho Basi na utambue maisha yako yoote yatakuwa kwenye kujibu nakuomba misamahaHajaja kujibu Chochote hadi Sasa, basi kuna ukweli ndani yake, jamani utapeli wa hela ya mtu ni mbaya sana
Aliyetapeli ni mwingine sio controller,watu wengi wanamshutumu controller kumbe sio yeye.Jamaa namkubali sana kwa kanuni anayoitumia...anajibu vipi shutuma zinazotolewa na watu watatu tuu kati ya wanna jf zaidi ya 6000 waliosoma hii thread na mtu ambae haweki ushahidi ili watu wengine wathibitishe.......ni uhakika ukiwa na tabia ya kujibu kila ambacho binadamu anakutuhumu nacho Basi na utambue maisha yako yoote yatakuwa kwenye kujibu nakuomba misamaha
Tupo nae na kumpongeza kwa bandiko hili kwa sababu linatufundisha na kutuongezea nyama katika harakati tulizozichagua na hatuwezi kuwa upande wa kumshutumu kwa kitu ambacho hatujahakikishiwa na alietendewa wala na alieileta kwetu hiyo shutuma
Inawezekana hujawaelewa walioleta hizo shutuma au Mimi sijawaelewa japo wanamtaja controller......ikiwa si controller kwa Nini wamekuja kutua hizo shutuma humu na si kwenye majukwaa mengine!!???Aliyetapeli ni mwingine sio controller,watu wengi wanamshutumu controller kumbe sio yeye.
Haya bhana ukweli utajulikana tuInawezekana hujawaelewa walioleta hizo shutuma au Mimi sijawaelewa japo wanamtaja controller......ikiwa si controller kwa Nini wamekuja kutua hizo shutuma humu na si kwenye majukwaa mengine!!???
Kuna la kujifunza na kufuata.....ni vyema shutuma zikiambatana na ushahidi
Ushahidi ulitolewa bahati mbaya mod walifuta kila kitu.Inawezekana hujawaelewa walioleta hizo shutuma au Mimi sijawaelewa japo wanamtaja controller......ikiwa si controller kwa Nini wamekuja kutua hizo shutuma humu na si kwenye majukwaa mengine!!???
Kuna la kujifunza na kufuata.....ni vyema shutuma zikiambatana na ushahidi
Unataka ushahidi wa Aina gani?? Make ushahidi wote ulishatolewa labda unajitia tu upofu haukuona au wewe Ni mshirika wake mnashirikiana kutapeli watu.Jamaa namkubali sana kwa kanuni anayoitumia...anajibu vipi shutuma zinazotolewa na watu watatu tuu kati ya wanna jf zaidi ya 6000 waliosoma hii thread na mtu ambae haweki ushahidi ili watu wengine wathibitishe.......ni uhakika ukiwa na tabia ya kujibu kila ambacho binadamu anakutuhumu nacho Basi na utambue maisha yako yoote yatakuwa kwenye kujibu nakuomba misamaha
Tupo nae na kumpongeza kwa bandiko hili kwa sababu linatufundisha na kutuongezea nyama katika harakati tulizozichagua na hatuwezi kuwa upande wa kumshutumu kwa kitu ambacho hatujahakikishiwa na alietendewa wala na alieileta kwetu hiyo shutuma
Hamna Cha kuvumilia yaan uyu anafundisha vitu ambavo hawez kuzifanyia kazi kazi kutapeli tu wadada wa watuNakupenda kaka yangu CONTROLA yani una vitu kichwani hata kama huvifanyii kazi ila jua vinatusaidia sana. Unaweza ukawa siku hyo umekata tamaa kabisa ukija kusoma mada zako unasema kumbe niendelee kuvumilia tuu.
Haaaaa Haaaaa ๐ jamani nimecheka. HalllooooOyah haututakii mema serikali ije kujifunza kwa tapeli la laki 4 ili itupige aisee u can't be serious
Ngja nkakufungulie kesi la kudhalilisha serikali
Haaaaa halooooo, kashesheUnataka ushahidi wa Aina gani?? Make ushahidi wote ulishatolewa labda unajitia tu upofu haukuona au wewe Ni mshirika wake mnashirikiana kutapeli watu.
Ukinijibu nakukata na usiponjibu we Ni mboga
Nasubir ajibu nione namkataa ama Ni mboga make anamtetea uyu tapeli kwa nguvu sanaHaaaaa halooooo, kasheshe