Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!? Umenifumbua macho💪💪💪💪💪🔥🔥🔥1.Kapata Pesa za Ghafla
Hapa kuna wale wenzangu wa michezo ya bahati na sibu au kuna mirathi,kuuza kitu flani nk nk,hawa watu mara nyingi biashara huiwaza angali ameshika pesa,alikua hana hata mpango wa biashara ila kwakua kapata pesa na watu waliomzunguka wengi marafki majiran n wafanyabiashara wanamshawishi,anafungua.. huyu mtu hatoboi.
Mnaruhusiwa kufanya, Ukinipa mimi Mil. 10 kama nataka fungua duka la nguoKwahiyo wenye Million 10 hatupaswi kufanya biashara Mkuu?
nafanya kwa ajli ya wana JF mkuu,naokoa watu wengi sanaMhh wee.kajamaa vinyuzi vyako ni vya maaanaa daah..unamawazo positive snaa..refer ile nyuz yako ya Tshs 50000
Kweli big up.mkuunafanya kwa ajli ya wana JF mkuu,naokoa watu wengi sana
PM ninazokutana nazo zinanifanya nisiache saidia watu maana
naletewa shuhuda nzito nzito jambo linalonifanya niseme YES i need more....
Ubarikiwe Pendaaa....Nimepata kitu kwa kweli, ni kushukuru ndugu mleta mada. Kama ilivyo ada elimu haina mwisho kila leo ni kujifunza na elimu yoyote aipatayo mtu huwa haimuachi kama ilivyo mkuta.
Mimi japo sio mfanya biashara wala mjasiriamali lakini bandiko hili limenigusa katika engo yangu na nimepata mawili matatu ya kuni songesha mbele.
kwamba nondo hizi sio zake?Madini ambayo hawezi yatumia instead anaamua kutapeli ni worthless
Alikutapeli nini? Acha roho mbaya mkuu kuharibiana majina.Madini ambayo hawezi yatumia instead anaamua kutapeli ni worthless
Haha yule dada sijui akisomaga nyuzi za jamaa aliko anaumiaAlikutapeli nini? Acha roho mbaya mkuu kuharibiana majina.
Acha upumbavuAlikutapeli nini? Acha roho mbaya mkuu kuharibiana majina.