Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya.

1. Dada wa kazi.
Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule wanapata mda wa kutuliza akili.

Hofu yao kuu ni kugombezwa, kutukanwa, kuropokewa nk toka kwa maboss zao ambao ni toxins women au circle sin.

Wapo wanawake Wana tabia mbaya za kuwaumiza watoto wa wenzao kwa kuwaropokea maneno makali, machafu yasiyofaa ( toxin's) kisa wanawalipa mshahara au mabinti wanatokea family masikini hii ni laana mbaya mama unapanda kwenye maisha yako.

Dada wa kazi ni mwanao usimtende vibaya kisa hana thamani kwako, lakini kumbuka ndio kabeba usalama wa maisha yako akiwa Kama muangalizi wa familia ukiwa haupo.

2. Madereva wote.
Hawa hofu yako kuu uletwa na traffic maana dereva mda wote anawaza kupigwa mkono ukitaka kuona hili kaa na dereva then akimuona traffic mbele muangalie usoni.

3. Malaya stress kuu ni namna ya kupata wateja siku hio.

4. Kibaka muda wote uwaza kitanuka

5. Mpangaji uomba mwisho wa mwezi usifike.

6.Wauza gongo

7.Machinga hofu ya kukamatwa na kubebewa Mali zao na wazee wa city.

Ukienda mjini wanauza huku macho juu juu
8.Wanawake wa vicoba marejesho uwapa sana stress hadi ujiuza ili waepuke kuchukuliwa vitu ndani wengi ukopa pasipo waume zao kujua.
1. Wamiliki wa makampuni ya mabasi ya abiria
2. Wanaodaiwa marejesho na mabank
3. Wale walio olewa na watu wa siku ya ijumaa
4. Viongozi walioteuliwa
 
Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya.

1. Dada wa kazi.
Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule wanapata mda wa kutuliza akili.

Hofu yao kuu ni kugombezwa, kutukanwa, kuropokewa nk toka kwa maboss zao ambao ni toxins women au circle sin.

Wapo wanawake Wana tabia mbaya za kuwaumiza watoto wa wenzao kwa kuwaropokea maneno makali, machafu yasiyofaa ( toxin's) kisa wanawalipa mshahara au mabinti wanatokea family masikini hii ni laana mbaya mama unapanda kwenye maisha yako.

Dada wa kazi ni mwanao usimtende vibaya kisa hana thamani kwako, lakini kumbuka ndio kabeba usalama wa maisha yako akiwa Kama muangalizi wa familia ukiwa haupo.

2. Madereva wote.
Hawa hofu yako kuu uletwa na traffic maana dereva mda wote anawaza kupigwa mkono ukitaka kuona hili kaa na dereva then akimuona traffic mbele muangalie usoni.

3. Malaya stress kuu ni namna ya kupata wateja siku hio.

4. Kibaka muda wote uwaza kitanuka

5. Mpangaji uomba mwisho wa mwezi usifike.

6.Wauza gongo

7.Machinga hofu ya kukamatwa na kubebewa Mali zao na wazee wa city.

Ukienda mjini wanauza huku macho juu juu
8.Wanawake wa vicoba marejesho uwapa sana stress hadi ujiuza ili waepuke kuchukuliwa vitu ndani wengi ukopa pasipo waume zao kujua.
Hii namba 8 inawafanya wanagawa uroda ili kupata hela za marejesho
 
Ongezea na kundi la chawa wa mama
Mkuu usinipeleke kuanza kuwaza ya bandari mie!
Nawaza huu mkataba, wawekezaji watapoanza kufanya kazi, nikijua dhahiri kuwa zabuni yoyote inayoingiwa kwa rushwa na maneno maneno, huwa haikidhi malengo, ref to: Net group solution, Trl, Nbc etc etc, Serikali walikomaza mafuvu kama sasa, matokeo yake kila mTz anayajua!

Sasa wote hawa, hata watu tuliowaheshimu zamani na leo wanajifanya machawa, sijui sura zao wataziweka wapi, au wataendelea kujibaraguza kwa uongo mwingine?
Mimi ngachoka kabisa isee!
 
Back
Top Bottom