Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

Hii omba mungu akuepusha inatia simanzi sana nyie watoto ni wasumbufu ukiwa nao ila wakikosekana, utaona dunia chungu mtoto anatia stress jaman wenzio wanakusimulia vitoto vyao vimevunja rimoti vyombo napo ndo wanapotonesha kidonda
Wanandoa waliokosa watoto
 
Yote hawana kombe wanashangilia hata bonanza na kibegi
 
Hapo kwa ma housegirl ni sawa kabisa,nina mama yangu mkubwa alikuwa anamkata
mshahara house girl akivunja sahani au chombo chochote. Kuna mwingine yeye hata kutoa nguo kwenye kabati alikuwa anamwita house girl anamwambia nitolee hiyo nguo.Du yaani ni majanga kuwa house girl kwa boss makatili.
 
Wanavyowabeba sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujamalizia maelezo, wenye mikopo na hawakutumia vyema mikopo yao!
Mtu anachukua mkopo bank anaenda kuweka heshima bar, pesa ikikata na marafiki wakiyeyuka hizo stress zake unaweza kupata stroke
 
Kwa hiyo wale Watumishi wa Mungu tunao wasoma kwenye Biblia ambao walikiwa wanakula wajakazi wao,walikuwa Wababa wa hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…