Makundi yanayomuunga mkono Rais Samia Suluhu

Makundi yanayomuunga mkono Rais Samia Suluhu

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.

Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅
  • Wamachinga ✅
  • Wanasiasa / Wanachama wao✅
  • Viongozi wa dini ✅
  • Bodaboda ✅
  • Wanawake ✅
  • Vijana ✅
  • Wazee ✅
  • Walemavu ✅
  • Wafanyabiashara ✅
  • Jumuiya za Kimataifa ✅
  • Wasomi ✅
 
Hapo kwenye wanawake na wamachinga ondoa

wanawake ndy wanaongoza kumchukia mwanamke mwenzao.Nazungumzia wanawake hawa hawa wa mtaani ambao hawana Kadi za chama chochote cha siasa,siyo hao wanaoonekana kwenye taarifa za hbr wakimulikwa na makamera na kurushwa kwenye TV wakisifu mama anaupiga mwingi

Pia Wamachinga ukiwauliza wachague Kati ya magufuli na mama Nani aliwapa unafuu kwao usitarajie km mama atachaguliwa.Labda Kama mtaokota wahuni na kuwapachika jina la Wamachinga

Nikupe mfano unaonihusu;
mwezi ulipita nilikuwa natafuta fremu ya biashara,cha ajabu nilimtumia karibia wiki tatu sijapata fremu Kwa bei niliyoizoea(mazoea mabaya).ikabidi niwauulize madalali niliowapa kazi mbona fremu zimepanda sn bei na fremu za barabarani ni hadimu sn kupata.

Nilijibiwa na madalali kwamba tangu wafanya biashara wa barabarani (machinga) wafukuzwe kufanya biashara imetokea fremu za barabarani kupanda bei na kuwa hadimu sn coz wale wamachinga ambao kidogo wanajimudu wameamua kutafuta fremu na wale amabao mtaji mdogo ndy hao wanafukuzana na mgambo (mfano tandika)

Tatizo lililopo nchi hii ni propaganda za uwongo zilizoanzia enzi ya magufuli na sasa Kwa mama.Kumeibuka wimbi la 'machawa' wa kusifia kila kitu.

Nimeshangaa Sana eti limeibuka gazeti linaitwa gazeti la 'machinga' Ukisoma yanayoandikwa humo ni kumsifia mama Tu badala ya kuongelea changamoto za wamachinga..Nchi imekuwa ya kisanii na uwongo uwongo sn kuanzia 2015. Punguzeni propaganda
 
Ungesema watanzania wote kwa kuwa watanzania ni wazee na vijana
FB_IMG_1643976349889.jpg
 
Kama una Sikio lake mshauri asisumbuke sana na kutumia nguvu nyingi za kuwanufaisha machawa ili apendwe..., Yeye afanye kazi yake na kuwajibika watu watamkubali tu vinginevyo ataendelea kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na wananufaika na kulamba hii asali wataendelea kuvuna hili shamba la Bibi na mwisho wa siku lawama sitaishia kwake...
 
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.

Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono [emoji736]
  • Wamachinga [emoji736]
  • Wanasiasa / Wanachama wao[emoji736]
  • Viongozi wa dini [emoji736]
  • Bodaboda [emoji736]
  • Wanawake [emoji736]
  • Vijana [emoji736]
  • Wazee [emoji736]
  • Walemavu [emoji736]
  • Wafanyabiashara [emoji736]
  • Jumuiya za Kimataifa [emoji736]
  • Wasomi [emoji736]
Wanaomuunga mkono ni wanasiasa wa vyama pinzani

Wafanyabiashara

Wafanyakazi kwa nyongeza kiduchu walichofanyiwa.

Jumuia za kimataifa

Makundi yaliyobaki wanalia na kusaga meno kila kukicha afadhali ya jana

Katika watu wanaomchukia zaidi ni wanawake
 
WASIO MUUNGA NI SUKUMA GANG wanatamani Ashindwe

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.

Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono [emoji736]
  • Wamachinga [emoji736]
  • Wanasiasa / Wanachama wao[emoji736]
  • Viongozi wa dini [emoji736]
  • Bodaboda [emoji736]
  • Wanawake [emoji736]
  • Vijana [emoji736]
  • Wazee [emoji736]
  • Walemavu [emoji736]
  • Wafanyabiashara [emoji736]
  • Jumuiya za Kimataifa [emoji736]
  • Wasomi [emoji736]
Wasiomuunga mkono ni wale waliokuwa wananufaika na mfumo kandamizi wa magufuli.

Matumizi mabaya ya fedha na madaraka kilichopelekea hata wafanyakazi kutopanda madaraja na nyongeza ya mshahara.

Walikuwa wanapiga pesa zetu Kwa kuunda makampuni ya ujenzi uchwara.

Waliokuwa wanabambikia watu kesi.

Mungu ashukuriwe na apewe sifa zake.

Sijui leo Tanzania ingekuwaje
 
Wanaomuunga mkono ni wanasiasa wa vyama pinzani

Wafanyabiashara

Wafanyakazi kwa nyongeza kiduchu walichofanyiwa.

Jumuia za kimataifa

Makundi yaliyobaki wanalia na kusaga meno kila kukicha afadhali ya jana

Katika watu wanaomchukia zaidi ni wanawake
Na makaburu waliofinywa mirija ya ufisadi.
 
Wale wamachinga waliovunjiwa vibanda vyao au wengine?
 
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.

Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅
  • Wamachinga ✅
  • Wanasiasa / Wanachama wao✅
  • Viongozi wa dini ✅
  • Bodaboda ✅
  • Wanawake ✅
  • Vijana ✅
  • Wazee ✅
  • Walemavu ✅
  • Wafanyabiashara ✅
  • Jumuiya za Kimataifa ✅
  • Wasomi ✅
wakulima sisi hatupo?
 
Kuridhisha kila mtu Tanzania haiwezekani hata manabii wetu hawakufanikiwa. Kimsingi Rais Samia anafanya kazi nzuri na iliyotukuka katika:
-Kujenga uchumi wenye matokeo chanya
  • Kujenga ustawi wa Taifa na kuindoa chuki aliyopandikiza Magufuli kwa miaka 5
  • Kupanua wigo wa demokrasia na utawala bora
  • Kuleta haki katika Taifa na kujenga mahusiano mema na mataifa ya nje

Kuna maganikio ambayo huwezi kuyaona leo bali miaka 3 hadi 5 baadaye. Magufuli aliharibu uchumi na mfumo wa kijamii na kisiasa wa Taifa hili kwa miaka 5, kazi ya kuuridisha ni ngumu. Kuna wanaoelewa na wasioelewa. Ila nakuhakikishia kufika 2025 tutaongea lugha moja.

Namuona akiingia 2025 na akituachia Katiba Nzuri ya Wananchi.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais Samia
 
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.

Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅
  • Wamachinga ✅
  • Wanasiasa / Wanachama wao✅
  • Viongozi wa dini ✅
  • Bodaboda ✅
  • Wanawake ✅
  • Vijana ✅
  • Wazee ✅
  • Walemavu ✅
  • Wafanyabiashara ✅
  • Jumuiya za Kimataifa ✅
  • Wasomi ✅
Mwache Kiongozi wetu afanye KAZI ninyi waramba asali.

Mwache amalizie Yale ambayo hayakukamilika waliyotumwa na wananchi akiwa na mtangulizi wake.

Bado miaka miwili amalizie KAZI ngumu na ya kuchosha, unamuonyesha makundi yanayomuunga mkono Ili abweteke?
Bado KAZI KUBWA hajamalizia.

Nawasihi tafadhali mwacheni amalizie KAZI Ili apumzike. Amen
 
Kuridhisha kila mtu Tanzania haiwezekani hata manabii wetu hawakufanikiwa. Kimsingi Rais Samia anafanya kazi nzuri na iliyotukuka katika:
-Kujenga uchumi wenye matokeo chanya
  • Kujenga ustawi wa Taifa na kuindoa chuki aliyopandikiza Magufuli kwa miaka 5
Chuki gani hiyo? Usitudanganye.
Linaeleweka kuwa chuki mnapandikiza nyie Kaburu gang.
  • Kupanua wigo wa demokrasia na utawala bora
Wapi huko? Mwambie aachie vyama vya siasa vifanye mikutano yao. Kama kweli yaliyopita yalikuwa si shwari aseme tu Mikutano sasa ruksa'
  • Kuleta haki katika Taifa na kujenga mahusiano mema na mataifa ya nje
Haki anatoa Raisi? Kucheza sinema na kupokea tuzo ndio kujenga mahusiano? na Kudiriki kuzima mapambano ya Mwafrika! Yero, ni kujenga Uhusiano?
Kuna maganikio ambayo huwezi kuyaona leo bali miaka 3 hadi 5 baadaye.
Mnajikanganya, mara mnaona, mara tusubiri. Hamna uhakika nyie.
Magufuli aliharibu uchumi na mfumo wa kijamii na kisiasa wa Taifa hili kwa miaka 5
Huo juu ni uwongo. Magufuli alijenga uchumi na tukafikia viwango vya juu. Magufuli aliijali jamii zote za Watanzania, sasa mnajali uchwara na wageni hovyo kabisa.
, kazi ya kuuridisha ni ngumu. Kuna wanaoelewa na wasioelewa. Ila nakuhakikishia kufika 2025 tutaongea lugha moja.
Unarudisha vipi kitu ambacho hakijaondoka?
Namuona akiingia 2025 na akituachia Katiba Nzuri ya Wananchi.
Raisi hana dhamana hiyo. Usitudanganye.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais Samia
Mungu ibariki Afrika
Aluta Continua
 
Kiuhalisia ni kwamba, haiwezekani watu wote wakuunge mkono, hata kama ungefanya vizuri namna gani.

Ukifanya mambo mema mengi, waovu, wapenda kudhulumu haki za watu watakuchukia, LAKINI kwa ujumla Rais Mama Samia anaungwa mkono na watu wengi, tena kwa hiari yao bila unafiki, kuliko wale wanaomchukia.

Pia bahati yake iliyokuu ni kwamba, tumetoka kwenye utawala mbaya, utawala katili, utawala primitive, hivyo hata jema dogo atakalolifanya litaungwa mkono sana na wengi, ambao walikiwa wamechoshwa na utawala mbaya wa miaka mitano wa marehemu Magufuli.
 
Back
Top Bottom