Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Umewasahau wafanyakaziMakundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania...✅
100% TRUE [emoji106]Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya...
Wanaomuunga mkono ni wanasiasa wa vyama pinzaniMakundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono [emoji736]
- Wamachinga [emoji736]
- Wanasiasa / Wanachama wao[emoji736]
- Viongozi wa dini [emoji736]
- Bodaboda [emoji736]
- Wanawake [emoji736]
- Vijana [emoji736]
- Wazee [emoji736]
- Walemavu [emoji736]
- Wafanyabiashara [emoji736]
- Jumuiya za Kimataifa [emoji736]
- Wasomi [emoji736]
WASIO MUUNGA NI SUKUMA GANG wanatamani AshindweMakundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono [emoji736]
- Wamachinga [emoji736]
- Wanasiasa / Wanachama wao[emoji736]
- Viongozi wa dini [emoji736]
- Bodaboda [emoji736]
- Wanawake [emoji736]
- Vijana [emoji736]
- Wazee [emoji736]
- Walemavu [emoji736]
- Wafanyabiashara [emoji736]
- Jumuiya za Kimataifa [emoji736]
- Wasomi [emoji736]
Wasiomuunga mkono ni wale waliokuwa wananufaika na mfumo kandamizi wa magufuli.Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono [emoji736]
- Wamachinga [emoji736]
- Wanasiasa / Wanachama wao[emoji736]
- Viongozi wa dini [emoji736]
- Bodaboda [emoji736]
- Wanawake [emoji736]
- Vijana [emoji736]
- Wazee [emoji736]
- Walemavu [emoji736]
- Wafanyabiashara [emoji736]
- Jumuiya za Kimataifa [emoji736]
- Wasomi [emoji736]
Na makaburu waliofinywa mirija ya ufisadi.Wanaomuunga mkono ni wanasiasa wa vyama pinzani
Wafanyabiashara
Wafanyakazi kwa nyongeza kiduchu walichofanyiwa.
Jumuia za kimataifa
Makundi yaliyobaki wanalia na kusaga meno kila kukicha afadhali ya jana
Katika watu wanaomchukia zaidi ni wanawake
wakulima sisi hatupo?Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅
- Wamachinga ✅
- Wanasiasa / Wanachama wao✅
- Viongozi wa dini ✅
- Bodaboda ✅
- Wanawake ✅
- Vijana ✅
- Wazee ✅
- Walemavu ✅
- Wafanyabiashara ✅
- Jumuiya za Kimataifa ✅
- Wasomi ✅
Mwache Kiongozi wetu afanye KAZI ninyi waramba asali.Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅
- Wamachinga ✅
- Wanasiasa / Wanachama wao✅
- Viongozi wa dini ✅
- Bodaboda ✅
- Wanawake ✅
- Vijana ✅
- Wazee ✅
- Walemavu ✅
- Wafanyabiashara ✅
- Jumuiya za Kimataifa ✅
- Wasomi ✅
Chuki gani hiyo? Usitudanganye.Kuridhisha kila mtu Tanzania haiwezekani hata manabii wetu hawakufanikiwa. Kimsingi Rais Samia anafanya kazi nzuri na iliyotukuka katika:
-Kujenga uchumi wenye matokeo chanya
- Kujenga ustawi wa Taifa na kuindoa chuki aliyopandikiza Magufuli kwa miaka 5
Wapi huko? Mwambie aachie vyama vya siasa vifanye mikutano yao. Kama kweli yaliyopita yalikuwa si shwari aseme tu Mikutano sasa ruksa'
- Kupanua wigo wa demokrasia na utawala bora
Haki anatoa Raisi? Kucheza sinema na kupokea tuzo ndio kujenga mahusiano? na Kudiriki kuzima mapambano ya Mwafrika! Yero, ni kujenga Uhusiano?
- Kuleta haki katika Taifa na kujenga mahusiano mema na mataifa ya nje
Mnajikanganya, mara mnaona, mara tusubiri. Hamna uhakika nyie.Kuna maganikio ambayo huwezi kuyaona leo bali miaka 3 hadi 5 baadaye.
Huo juu ni uwongo. Magufuli alijenga uchumi na tukafikia viwango vya juu. Magufuli aliijali jamii zote za Watanzania, sasa mnajali uchwara na wageni hovyo kabisa.Magufuli aliharibu uchumi na mfumo wa kijamii na kisiasa wa Taifa hili kwa miaka 5
Unarudisha vipi kitu ambacho hakijaondoka?, kazi ya kuuridisha ni ngumu. Kuna wanaoelewa na wasioelewa. Ila nakuhakikishia kufika 2025 tutaongea lugha moja.
Raisi hana dhamana hiyo. Usitudanganye.Namuona akiingia 2025 na akituachia Katiba Nzuri ya Wananchi.
Mungu ibariki AfrikaMungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais Samia