Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo.
Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na taarifa za ibada (dini), biashara, afya, bidhaa, elimu, siasa, misiba, sherehe, taarifa za ofisini, au shughuli nyingine ambayo haihusiani na masuala ya mpira wa miguu.
....lakini baada ya kundi kuanzishwa, linageuka kuwa kundi la ushabiki wa timu za SIMBA & YANGA. Kutoka asubuhi mpaka usiku members wanachati mpira wa SIMBA na YANGA.
Right Marker
Dar es salaam.