Sabra said
Member
- Jun 28, 2014
- 49
- 9
Habari wa jf naomben tumshauri huyu mtu.Ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ana tatzo la ngozi ya uson kujkunja kama mzee amejarbu dawa mbalmbal bla mafankio mwenye kujua
chanzo cha tatzo na tiba plz amsaidie me nmeshndwa.
chanzo cha tatzo na tiba plz amsaidie me nmeshndwa.