Makunyazi usoni kwa kijana.

Makunyazi usoni kwa kijana.

Sabra said

Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
49
Reaction score
9
Habari wa jf naomben tumshauri huyu mtu.Ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ana tatzo la ngozi ya uson kujkunja kama mzee amejarbu dawa mbalmbal bla mafankio mwenye kujua
chanzo cha tatzo na tiba plz amsaidie me nmeshndwa.
 
Kuzaa uzeeni na watoto wakizaliwa wakifika miaka 15 huonesha dalili za utu uzima na ikifika 18 anaanza kuzeeka...
 
Habari wa jf naomben tumshauri huyu mtu.Ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ana tatzo la ngozi ya uson kujkunja kama mzee amejarbu dawa mbalmbal bla mafankio mwenye kujua
chanzo cha tatzo na tiba plz amsaidie me nmeshndwa.

Pole kwa tatizo..karibu of is I zetu za Oriflame tuna dawa inayoitwa ANTI-WRINKLES itatibu shida yako..wengi wamefanikiwa,bei zetu ni nafuu ..karibu sana!piga 0655868643 utaletewa ulipo!
 
Habari wa jf naomben
tumshauri huyu mtu.Ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ana tatzo la ngozi
ya uson kujkunja kama mzee amejarbu dawa mbalmbal bla mafankio mwenye
kujua
chanzo cha tatzo na tiba plz amsaidie me nmeshndwa.

nipm ni swala dogo tuu hilo
 
Back
Top Bottom