City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Nisome vizuri chief, sikuandika MCs wasilipe kodi. Actually nalalmika kwanini MCs hawalipi ilhali mwalimu anayelipwa 500k/mwezi analipa PAYE.sidhani kama kweli mc hastahili mlipa kodi sababu nachoelewa mimi mtu yeyote akifanya biashara na kufikia kiasi cha 4,000,001 kwa mwaka kama mapato anastahili lipa kodi ,mfanyakazi kwa mwezi kiasi cha 270,000 anastahili lipa kodi. Labda tuwashauri tra namna nzuri ya kuwabana hawa MC ila wanastahili kabisa lipa. Ushauri wangu kwa TRA kila mc awe na mashine ya EFD na kila mtu akipata huduma ya mc apewe risiti ya mashine ili kuweza wabaini walau kipato chao maana mc kweli wapo wengi.