ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Ilikuwa busara kupanua uwanja wa mwanza uwe international kuliko ujinga wa kwenda kujenga chato uwanja wa popo na bundijengeni jengo la abiria la kimataifa uwanja ndege Mwanza muone km mtapata mtalii hata mmoja wa kwenda serengeti na pato litandondoka. Kanda ya kaskazini inabebwa sana.
Unalinganisha na wapi hao watu wa moshono na unga limited mkuu?"Akili za kaskazini" Hizo billions, zilizokusanywa, utakuta ni, ma kampuni matano tu, hazi reflect uchumi wa, mtu mmoja mmoja, ingekuwa raia,wa huko wapo vzr, kuanzia moshono, mpaka unga limited, au, kule uswazi, matejooo, tungekuwa hatuoni walevi mbwa,hoe hae vijijini!
Hahahaahah achana na mjinga labda misukule ndio inafanya kazi viwandaniKwa akili hizi tunasafari ndefu sana kama taifa
Sasa hayo makampuni nani ni wafanyakazi kwamba maroboti ndo yanafanya kazi kule kazi kweli kweli
Makao makuu ya Serengeti yako geti la pili ndabaka ambayo iko mkoa wa mara wilaya ya serengetiNdio maana tunataka shughuli za utalii pia ziboreshwe kanda ya ziwa, haiwezelani mbuga ya serengeti asilimia kubwa iwe kanda ya ziwa, halafu ofisi zote za mamlaka ya utalii ziwe Arusha.
Tutajenga lami kuifikia mbuga ya serengeti kwa urahisi kutokea mwanza na mara, na pia uwanja wa ndege wa mwanza na musoma unaboreshwa.
Ziwa victoria lina visiwa tele, tunataka kutenga visiwa maalum kadhaa ili vijengwe mahoteli ya kifahari ya nyota zote.