Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

jengeni jengo la abiria la kimataifa uwanja ndege Mwanza muone km mtapata mtalii hata mmoja wa kwenda serengeti na pato litandondoka. Kanda ya kaskazini inabebwa sana.
Ilikuwa busara kupanua uwanja wa mwanza uwe international kuliko ujinga wa kwenda kujenga chato uwanja wa popo na bundi
 
"Akili za kaskazini" Hizo billions, zilizokusanywa, utakuta ni, ma kampuni matano tu, hazi reflect uchumi wa, mtu mmoja mmoja, ingekuwa raia,wa huko wapo vzr, kuanzia moshono, mpaka unga limited, au, kule uswazi, matejooo, tungekuwa hatuoni walevi mbwa,hoe hae vijijini!
Unalinganisha na wapi hao watu wa moshono na unga limited mkuu?
Kwanza Tanzania ni maskini ila tunazidiana umaskini tu
 
Kwa akili hizi tunasafari ndefu sana kama taifa
Sasa hayo makampuni nani ni wafanyakazi kwamba maroboti ndo yanafanya kazi kule kazi kweli kweli
Hahahaahah achana na mjinga labda misukule ndio inafanya kazi viwandani
 
Ndio maana tunataka shughuli za utalii pia ziboreshwe kanda ya ziwa, haiwezelani mbuga ya serengeti asilimia kubwa iwe kanda ya ziwa, halafu ofisi zote za mamlaka ya utalii ziwe Arusha.

Tutajenga lami kuifikia mbuga ya serengeti kwa urahisi kutokea mwanza na mara, na pia uwanja wa ndege wa mwanza na musoma unaboreshwa.

Ziwa victoria lina visiwa tele, tunataka kutenga visiwa maalum kadhaa ili vijengwe mahoteli ya kifahari ya nyota zote.
Makao makuu ya Serengeti yako geti la pili ndabaka ambayo iko mkoa wa mara wilaya ya serengeti
Makao makuu ata km yatawekwa Musoma mjini bado hayatokua na mafunaa km wananchi wa mkoa wa mara hawatoamka na kuchangamkia fulsa za utalii

Solonela iko mara ila wawekezaji wote walowekeza pale wametoa arusha watu wa mkoa Mara wameshindwa ata kuchua vinanda vya chakula ata vibanda vya supermarket
Ndio mkoa ya Mara Simiyu mwanza imezungukwa na Ziwa victoria ila tambua ilo ziwa viktori halijatanganzwa km vilivyo tangazwa vivutio vingne na shida na uongozi wa mikoa iliyozunguka ziwa victoria
Ziwa voctoria linavisiwa ving ila visiwa vyake vimekaa zaidi kivuvi ila sio kiutalii

Mwanza ni nzuri kimajengo kimpangilio ila huwez ifananisha na Arusha kiuchumi Arusha iko juu

Afu kuna kitu unashindwa kukielewa utalii kanda ya ziwa umesimamiwa na wakenya asilimia kubwa ya watalii wanaokuja kanda ya Ziwa hutokea kenya na makampuni meng ya usafirishaji watalii hutokea kenya so endapo tunataka kukuza utalii kand ya ziwa inabid tutafte mbinu ya kupambana na wakenya kwanza kbla ata ya Kukomaq nq Arusha
 
Kanda ya Ziwa kitu pekee kinachoweza kuinua uchumi ni madini ndo maana leo unaona kahama inafanya vizur kulko Mara au Simiyu
Lakin kitu kingne ilikua ni Ziwa ila sasa ziwa samaki wamepungua sana kutokana na uvuvi haramu

So kilichobaki wabadilishe matumizi ya ziwa victoria wabase sana sana kwenye kilimo cha umwagiliaje labda ilo linaweza kukuza uchumi wao ila ttzo linakuja watu weng wa kanda ya ziwa especially Mara wanaamini sana kwenye uvuvi kulko kilimo apo ndo ttzo


Nmesoma Musoma tech 2004 ila home ni Arusha so
Mara naijua kias flan
 
Back
Top Bottom