Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kutokana na kwamba mwanangu Marquise hataka kuchukua biashara niliyompa yenye thamani ya almost $5 milioni, nimeamua kuacha kumpa $6700 ya matunzo ya kila mwezi. Nafikiri ni wakati mitaa kumfundisha maisha.”
Hivi sasa sina tena uhusiano mazuri na mwanangu Marquise.
Ni hali ya kusikitisha, lakini nafikiri vema kwa sasa kwa sababu anahisi anastahili kupita kiasi.
Marquise ana miaka 27, lakini bado namlipia matunzo ya $6700 kila mwezi, hata baada ya kukataa biashara ya $5 milioni niliyotaka kumfungulia.
Hakuna aliye wahi kunipa nafasi kama hiyo.”
Kwa kuwa haoni kuwa ana bahati, naona ni bora nimuonyeshe hali ngumu.
Atakapolazimika kuanza kutoka sifuri kama mimi, ataelewa nilichokuwa nikifanya kwa ajili yake.
Anataka kuzunguka New York na magari ya kifahari akiwa na wanawake, bila kufanya kazi, akitegemea jina langu.
Siwezi kumruhusu hilo kwa sababu ana muda wa kutosha kufanya kazi na nipo tayari kumpa resources zotezote atakazozihitaji.”
Ikiwa anataka kitu chochote, ajitafutie mwenyewe.
Mama yake huwa anamwambia, 'Wewe ni mtoto wa 50 Cent, unastahili zaidi,' na hata nikimpa anachotaka, bado ataomba kingine.
Nimejaribu kumwambia kwamba mama yake anamshauri vibaya.
Mama yake humtumia mtoto kama njia ya kulipiza kisasi kwangu, kila proposal ninayompa mtoto wangu huikataa kwa kuwa mama yake anataka niwe natoa hela kwao.
Yeye anaona mimi ni adui yake.” Sasa ana umri wa kutosha na kama hawezi kuanza kutoka sifuri, naogopa ataishia kuwa mtu aliyeshindwa maishani.
Afadhali nitoe pesa yangu kwa misaada kuliko kumpa mtoto mwenye bahati ambaye ana dhana ya kustahili kama Marquise.
Kuna wakati ninajisikia aibu kumuita mwanangu kwa sababu nimejaribu kila mbinu ili kum-shape ila nimefel kama baba na kama mfanyabiashara.
Nina ventures nyingi sana ambazo ningeweza kumuingiza na tukafanya KAZI lakini hayuko tayari.”