Makuzi: Kilio cha 50 Cent kwa mwanaye

Makuzi: Kilio cha 50 Cent kwa mwanaye

Hawa wanawake wanaovaa bikini kitako nje wanasumbua sana
 
50 cent analiendekeza hilo toto lake kubwa jinga lenye mav*zi hadi mat*koni. amlie bati aone kama dogo hatanyooka.
 
Rudia kusoma ulicho kiandika then utagundua umejaa chuki na jazba kutokana na aina ya malezi uliyo yapata.
Minaona kama nawewe ni muathirika wa malezi mabovu pia, hata imekufanya kua mwenye hasira na chuku zaidi kuliko kujikita kwenye hoja.
Huyu jamaa kumbe kapata ajali 😁😁 kumbe ndiyo maana dish limeyumba du sasa sijui itskuwaje maana hata kabla ya ajali alikuwa na viji akili kiduchu sasa kwa hii ajali sijui itakuwaje 🤫
 
Ila 50 ana gubu nae inasemekana alichoma nyumba aliyomwachia ex ili wakose wote
 
Kutokana na kwamba mwanangu Marquise hataka kuchukua biashara niliyompa yenye thamani ya almost $5 milioni, nimeamua kuacha kumpa $6700 ya matunzo ya kila mwezi. Nafikiri ni wakati mitaa kumfundisha maisha.”

Hivi sasa sina tena uhusiano mazuri na mwanangu Marquise.

Ni hali ya kusikitisha, lakini nafikiri vema kwa sasa kwa sababu anahisi anastahili kupita kiasi.

Marquise ana miaka 27, lakini bado namlipia matunzo ya $6700 kila mwezi, hata baada ya kukataa biashara ya $5 milioni niliyotaka kumfungulia.

Hakuna aliye wahi kunipa nafasi kama hiyo.”

Kwa kuwa haoni kuwa ana bahati, naona ni bora nimuonyeshe hali ngumu.

Atakapolazimika kuanza kutoka sifuri kama mimi, ataelewa nilichokuwa nikifanya kwa ajili yake.

Anataka kuzunguka New York na magari ya kifahari akiwa na wanawake, bila kufanya kazi, akitegemea jina langu.

Siwezi kumruhusu hilo kwa sababu ana muda wa kutosha kufanya kazi na nipo tayari kumpa resources zotezote atakazozihitaji.”

Ikiwa anataka kitu chochote, ajitafutie mwenyewe.

Mama yake huwa anamwambia, 'Wewe ni mtoto wa 50 Cent, unastahili zaidi,' na hata nikimpa anachotaka, bado ataomba kingine.

Nimejaribu kumwambia kwamba mama yake anamshauri vibaya.

Mama yake humtumia mtoto kama njia ya kulipiza kisasi kwangu, kila proposal ninayompa mtoto wangu huikataa kwa kuwa mama yake anataka niwe natoa hela kwao.

Yeye anaona mimi ni adui yake.” Sasa ana umri wa kutosha na kama hawezi kuanza kutoka sifuri, naogopa ataishia kuwa mtu aliyeshindwa maishani.

Afadhali nitoe pesa yangu kwa misaada kuliko kumpa mtoto mwenye bahati ambaye ana dhana ya kustahili kama Marquise.

Kuna wakati ninajisikia aibu kumuita mwanangu kwa sababu nimejaribu kila mbinu ili kum-shape ila nimefel kama baba na kama mfanyabiashara.

Nina ventures nyingi sana ambazo ningeweza kumuingiza na tukafanya KAZI lakini hayuko tayari.”

View attachment 3143823
Ngumu sana single mother kumjenga mvulana kuwa mwanaume, sometimes malezi ya mtoto ya kiume lazima yawe na chambe chembe za maumivu za kumwonyesha yy ni mwanaume. Siku hizi kuna watoto hata kazi za nyumabani hawafanyi,kisa kuna house boy na house girl.

Ila baadhi wa single mother wengi wao wenye fedha, wao wanajisifu kumpa mtoto kila kitu kumbe anamwaribu na mwonea huruma 50cents japo kachukua hayo maamuzi ila moyoni anaumia.
 
Wazazi ndiyo wanao sababisha hayo matokeo mabovu kwa watoto wao ...wewe jiulize mzazi anawaaminisha watoto wake kuwa yeye ni mungu wa pili ! Unajua nini maana yake maana yake huyo mzazi kajitakasa ataki kukosolewa wala kushauriwa wala kuelimisha chochote na mtoto wake hata kama anakosea ...ni mekanizim ya wazazi wapumbavu ...mzazi mwenye akili na mwema uwaambia watoto wake wasaidie kumkosoa na kumuelimisha pale wanapo ona anakosea na kujadiliana kufikia maisha mema
Mkuu naona kama andiko lako lina ukakasi sana

Yes wazazi wangu ni Mungu wapili kwangu na watabakia hivyo till the end........ but am grown up enough to understand kwamba wao pia ni binadamu na wanamapungufu

Sioni wapi ubaya wa mzazi kujifanya Mungu mtu
Haya ni mafundisho ya dini pia mkuu.
Mpaka leo hii mama yangu ananichukulia kama mtoto wake ambaye anahitaji kunielekeza kila mara
 
Mkuu naona kama andiko lako lina ukakasi sana

Yes wazazi wangu ni Mungu wapili kwangu na watabakia hivyo till the end........ but am grown up enough to understand kwamba wao pia ni binadamu na wanamapungufu

Sioni wapi ubaya wa mzazi kujifanya Mungu mtu
Haya ni mafundisho ya dini pia mkuu.
Mpaka leo hii mama yangu ananichukulia kama mtoto wake ambaye anahitaji kunielekeza kila mara
Tumia akili
 
Tumia akili
Mkuu mbona kwenye kuchaniwa mikeka tunajadiliana kwa amani sana pamoja na vipigo😂😂😂

Kulikoni huku mbona makasiriko?

BTW nime edit treni lako 😂😂
 
50 cent anavuna alichokipanda, kama angemlea mtoto katika njia sahih marquise asingekuwa hivyo.

Mbona akina will smith watoto wake willow na jaden wameanza kujitemgea mapema sana, sababu baba aliwafundiwa how the industry goes tangu wakiwa wadogo.

Angalia hata blue ivy katoto ka jigga, hakajafikisha hata miaka 16 tayar kameshaanza kuingiza pesa, yote hiyo ni kwasababu wazaz walitimiza wajibu wao.
 
Back
Top Bottom