Makuzi: Kilio cha 50 Cent kwa mwanaye

Mapenz yatatuua bora kutafuta pesa kinachofata mitung hukuja na kitu utalud bila kitu tumia sio unajibana kisa watoto
 
Maajabu ya wanaume na dunia, wanaume watajaa hapa wataungana kwa wingi kumpongeza 50 cent na kumponda mtoto na baby mama wake.
Wakitoka hapa JF, huko majumbani ndani ya mageti na ndani ya kuta za nyumba zao, wanaenda kushughulikishwa na kuadibiwa (adibu) kama mambwa koko halafu wala hawaoni shida, wanaona ndiyo mapenzi, kisanga cha Nyani na Kundule. Wanampongeza 50 cent makundubai yao wameshindwa kuyasafisha huko majumbani
 
Tumia akili soma tena ..kama unayo akili utaelewa...au na wewe ndiyo mpumbavu unao waambia watoto wako wewe ni kaji mungu furani wakuabudu
Achana na lawama mkuuu...
Punguza chuki na kisha jikite kwenye hoja.
Malezi ni mipango, na mimi kama baba ni rafiki wa watoto wangu.
Mtoto anapaswa kuwa rafiki wa mzazi mazee....
Ukiwa rafiki wa watoto wako utawasikiliza na watakutii.
Malezi sio udikteta wala ugimvi wala kipigo "lakini kwangu mtoto anapo kosea lazima akanywa kwa kiboki".
Tatizo nililo liona kwenye kesi kama hii ni..... baba alitofautiana na mama, then sheria za nchi zikampa mama fursa ya kumlea mtoto.
Bahati mbaya mama alimlisha mtoto sumu na kisha mtoto akamchukia baba (akajiingiza kwenye ugimvi wa baba na mama).
Matikeo yake mtoto akawa sio mtii kwa baba yake na akawa na chuki kwa baba yake. So.... mtoto anae jiingiza kwenye ugomvi wa baba na mama yake, huyo ni mtoto asie faa.
 
Sasa ulipinga nini nilicho ongea ? Wewe itskuwa ubongo wako una damage....🙄🙄🙄🙄
 
Huyo mtoto anamsikiliza zaidi mama yake na alivyo lofa hawazi future yake, anadhani anamkomoa mzee wake wakati kiuhalisia anajikomoa mwenyewe.
 
Punguza hasira na jikite kwenye hoja mkuu...
Bado nasisitiza, rudi ukasome kile ulicho kiandika pale mwanzo kabisa...😊
Tafuta mtu yoyote humu akuunge mkono kuwa nilicho andika kina shida au kasoro yoyote kwanza kisha nionyeshe kasoro ipo wapi ? Wewe unashida kwenye ubongo bila shaka yoyote itakuwa uliwai kupata damage katika maisha yako
 
Nimeshangaa kweli yaan
lakini kwenye hili madam, tuseme ukweli wanawake wanaongoza kuharibu watoto hasa katika kuwapandikizia chuki dhidi ya baba zao, pale ambapo mama na baba wanatofautiana mtoto anatengenezewa negative dhidi ya baba yake, mara baba yako malaya sana, kisa tu mmeachana na ubaya hamuwezi address tatizo hata kama mama alifumaniwa bado atasema baba yenu mbaya sana aliniacha
 
Ni kweli kabisa,
 
Ni kweli kabisa,
si unaona hata kwenye huo mfano wa 50cent Mama anachomwambia mwanae, hivi unafikiri hata waliachiwa mali zote huyo mtoto anaweza kurun hata kwa miaka miwili tu?
 
Ni ngumu.... lakini mjifunze wanaume pia
Usizae na mtu usiye na malengo ya kumuoa
Hapo kwenye kuzaa unafikiri nani anasababisha? si huwa mnafosi? unafikiri wanawake wote wanaobeba mimba wanakuwa wamejadiliana na wapenzi wao kwamba sasa baby tuzae? ingekuwa hivyo nani angeikimbia mimba?
 
Tatizo lilianzia kwa mama kuhitaji pesa zaidi kwa ajili ya matunzo ya mtoto,Hata sasa mtoto ni mkubwa bado anapenda mambo rahisi kama mama yake jambo jema nikumuacha apitie misukosuko ya maisha yake ndiyo atajua maisha ni nini.
 
Hapo kwenye kuzaa unafikiri nani anasababisha? si huwa mnafosi? unafikiri wanawake wote wanaobeba mimba wanakuwa wamejadiliana na wapenzi wao kwamba sasa baby tuzae? ingekuwa hivyo nani angeikimbia mimba?
aIsee kumbe unaujua uhalisia wa hawa watu,mimi nimeshafikisha mpaka wawili,tukiwa kwenye mahusiano nawaambia kabisa kuwa kwasasa sipo tayar kuwa na mtoto lakin cha ajabu unashangaa mtu ameshakuingiza kwenye kumi na nane zake

Nilichogundua sasa mwanamke ukiwa nae usitegemee kwamba akili zake zinaweza kukusaidia kwenye mipango yako na usimwamin mwanamke anachokisema,kila kitu mwanaume unatakiwa ukiamue wewe
 
Ukiwa mzazi unajua huyu jamaa maumivu anayopitia,nilishawahi kusema hapa,kwa mwanamke mahusiano ya mapenzi hasa ndoa yakishavunjika huwa akili inakuwa sio ya kwake tena......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…