Makuzi: Kilio cha 50 Cent kwa mwanaye

Hawa wanawake wanaovaa bikini kitako nje wanasumbua sana
 
50 cent analiendekeza hilo toto lake kubwa jinga lenye mav*zi hadi mat*koni. amlie bati aone kama dogo hatanyooka.
 
Rudia kusoma ulicho kiandika then utagundua umejaa chuki na jazba kutokana na aina ya malezi uliyo yapata.
Minaona kama nawewe ni muathirika wa malezi mabovu pia, hata imekufanya kua mwenye hasira na chuku zaidi kuliko kujikita kwenye hoja.
Huyu jamaa kumbe kapata ajali 😁😁 kumbe ndiyo maana dish limeyumba du sasa sijui itskuwaje maana hata kabla ya ajali alikuwa na viji akili kiduchu sasa kwa hii ajali sijui itakuwaje 🀫
 
Ila 50 ana gubu nae inasemekana alichoma nyumba aliyomwachia ex ili wakose wote
 
Ngumu sana single mother kumjenga mvulana kuwa mwanaume, sometimes malezi ya mtoto ya kiume lazima yawe na chambe chembe za maumivu za kumwonyesha yy ni mwanaume. Siku hizi kuna watoto hata kazi za nyumabani hawafanyi,kisa kuna house boy na house girl.

Ila baadhi wa single mother wengi wao wenye fedha, wao wanajisifu kumpa mtoto kila kitu kumbe anamwaribu na mwonea huruma 50cents japo kachukua hayo maamuzi ila moyoni anaumia.
 
Mkuu naona kama andiko lako lina ukakasi sana

Yes wazazi wangu ni Mungu wapili kwangu na watabakia hivyo till the end........ but am grown up enough to understand kwamba wao pia ni binadamu na wanamapungufu

Sioni wapi ubaya wa mzazi kujifanya Mungu mtu
Haya ni mafundisho ya dini pia mkuu.
Mpaka leo hii mama yangu ananichukulia kama mtoto wake ambaye anahitaji kunielekeza kila mara
 
Tumia akili
 
Tumia akili
Mkuu mbona kwenye kuchaniwa mikeka tunajadiliana kwa amani sana pamoja na vipigoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kulikoni huku mbona makasiriko?

BTW nime edit treni lako πŸ˜‚πŸ˜‚
 
50 cent anavuna alichokipanda, kama angemlea mtoto katika njia sahih marquise asingekuwa hivyo.

Mbona akina will smith watoto wake willow na jaden wameanza kujitemgea mapema sana, sababu baba aliwafundiwa how the industry goes tangu wakiwa wadogo.

Angalia hata blue ivy katoto ka jigga, hakajafikisha hata miaka 16 tayar kameshaanza kuingiza pesa, yote hiyo ni kwasababu wazaz walitimiza wajibu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…