Makwaiya wa Kuhenga

Tatizo liko wapi? Nasi tufungue moyo wako ili tujuwe kuwa masuwala ya dini ya wenzio ni mwiba kwako? Pingana kwa hoja lakini usimpinge mtu katika imani na mtizamo wake? Ni bora watu kama nyie mkaleta mada zenu wazi ili tujadili mitazamo yenu.

mi sina tatizo na imani ya mtu nawala mtu asiwe na tatizo na imani yangu, suala ni tunachukulianaje? Yule mzee ana ushabiki wa wazi kabisa. nadhani kajisahau anafanya nini
 

Nadhani atakuwa na influence kwa namna yoyote ndio maana anaweza kualika wetu kwenye mada na kuwajaza watanzania jazba zenye mrengo wa kiimani, so ni mtu wa kumtazama vizuri
 

Hata mimi naliona hilo! Nilimtumia message nikimshauri kuwa anapoleta mada awe anachagua 'panellists' toka pande zote ili tusikie hoja za upande mwingine na siyo kuchagua wale anaojua watahitimisha jinsi anavyopenda yeye. Kwa kawaida, 'conclusion' huwa anaitoa yeye mwenyewe kuliko 'viewers' ambao ndio walengwa (addressees).

Lakini alinijibu akasema yeye ni msomi na tena amesoma nje! Sijui ni nani hajasoma nje? Na kama kusoma nje kunamfanya mtu awe 'narrow minded' vile ni afadhari kusiwepo tena kusoma nje maana hakujengi kitu kama matokeo yake ni hayo.

 

hayo ndio matatizo ya kujijengea himaya. hata kwa jibu hilo inadhihirisha kuwa ni mtu wa mawazo ya upande mmoja kama zilivyo mada zake. nasikia ana kitabu chake amekitoa, asije akawalisha wabongo sumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…