Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #21
Tatizo liko wapi? Nasi tufungue moyo wako ili tujuwe kuwa masuwala ya dini ya wenzio ni mwiba kwako? Pingana kwa hoja lakini usimpinge mtu katika imani na mtizamo wake? Ni bora watu kama nyie mkaleta mada zenu wazi ili tujadili mitazamo yenu.
mi sina tatizo na imani ya mtu nawala mtu asiwe na tatizo na imani yangu, suala ni tunachukulianaje? Yule mzee ana ushabiki wa wazi kabisa. nadhani kajisahau anafanya nini